Selfika na JF: Snap it. Show it

Me najua nananipenda sna tena kuzidi mimi ila tofaut yetu moja tu me nasema live yeye anasema kwa nukta shida ndo hyo
 
Me najua nananipenda sna tena kuzidi mimi ila tofaut yetu moja tu me nasema live yeye anasema kwa nukta shida ndo hyo
Kumbe unajidanganya kwa vinukta shogaa😅😅utaumia kama ndo hivyo maana hivyo vinukta vinaandikwa kwa watu wengi humu.

Sasa wewe jichanganye tu na hivyo vinukta.acha kupoteza muda dada zama piemu huko

Ngoja nikukumbushe kuna kutamani na kupenda.sijui wewe unamaanisha nini.

Ukipata nafasi ya kupeperusha bendera jitahidi kuiwakilisha nchi vizuri sasa na wewe
 
Hahahha staki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…