[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nyau, huwezi jua ulinzi wako ni invicible
utashangaa tu kala makonzi kwa sababu yako
Woyoooooolabda nikuhamishe tukaishi kenya huko
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sibanduki tena hapa kwenye huu uzi ***** naona napitwa tuu na vitu vizur
Hamna asije kumshinda huyo ni ngumuWewe si ndo mshindi-mshiriki?? Unakosaje sasa kwa mfano.!
Kesho ni kesho.nyie mnata watu waache kufanya kazi waamkie hapa
Uhandsome boy wa Kanda ya ziwa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]atuoneshe nini eti Anne??
wooiiiππ½ββοΈππ½ββοΈAi trasti zem noti yuu
nyie mnata watu waache kufanya kazi waamkie hapa
HahaMshape matata.
Andaeni tuu mbavu za kunicheka.
mpiga kura wako mtiifu nipo hapa[emoji16][emoji16]
Umepamba moto[emoji28]Aisee huu uzi umecottonfire balaa
Hiyo tuu.Hahahaha nataka picha ya katikati
WarereeNilipokuwa sijakuona watu walikuwa wananiringishia humu so na wao waipate fresh hahahaha
Mjini kutesa kwa zamu hahahah
Lizarazu sitoki hapa bila picha yako[emoji2960][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Nilishagamwambia kuwa napenda watu kama yeye hapo nakuwaga mpole km kuku mwenye mdondo
Nikiwataja watanichamba hapa maana wana mdomo hao hahahahaNani huyo alokuwa anakuringishia eti
Mod wamesikiliza kilio changu