Siku ujikute kwa jirani hapo ndo utaelewa pombe si juisi kola..Mbona umesahau sasa kulala na viatu π π yani kama ulijua vile blaza.
Cha msingi nilewe ndani kwangu nizime nistuke asubuhi basiππ
Hahahaha, hili tu mrembo ? Nalimaliza usihofu ,sema lingine@mtu chake kusema ukweli moyo wako unaniongelesha [emoji7][emoji7]na sauti naisikia [emoji12]
Sasa mbona hujaweka?Siwezi kukuzungusha
Nitumie nauliNjoo Dar tule mwaka mpya
NdiyoMkuu uko hapo?
Hii picha mbona imenihuzunisha namna hii[emoji24]
Mimi machozi yamenitoka.nimetafakari vingi mno nikakosa jibu.nimeishia kusema Mungu AsanteHii picha mbona imenihuzunisha namna hii[emoji24]
Kabisa.. Nimewaza Mengi sana..Mimi machozi yamenitoka.nimetafakari vingi mno nikakosa jibu.nimeishia kusema Mungu Asante
Eeeh, nauli tena!!?Nitumie nauli
πππππchizi kabisa blaza..eti juice kolaπ πSiku ujikute kwa jirani hapo ndo utaelewa pombe si juisi kola..
Unasema wewe mi mbona nilishawahi jikuta chumbani kwa house girl! Ila shetani mbaya nyinyi..ππππππchizi kabisa blaza..eti juice kolaπ π
Najifungia ndani huko kwa jirani najikuta kufanya nini blaza
π’π’π’π’π’π’ kwenye maisha kuna siri kubwamnoπππKabisa.. Nimewaza Mengi sana..
ππππππππππwew si Mzima blaza hakitena.Unasema wewe mi mbona nilishawahi jikuta chumbani kwa house girl! Ila shetani mbaya nyinyi..π
Tumuachie Mungu mengine..π€£ππππππππππwew si Mzima blaza hakitena.
Kwa hiyo mkajikutakitandaniπ π
Kwahiyo bwana ndie ajuaye sioTumuachie Mungu mengine..π€£
Ndio dada yeye ndo ajuae na pia naomba awaangalie Hawa wanaotunga majina ya vilevi ati safari lager! Ndio maana ikanisafirisha mpk chumbani kwa dada wa kazi.. we acha tu..π€£π€£Kwahiyo bwana ndie ajuaye sio
Kwahiyo ukasafarika mpka kwa lager(housegirl)πππNdio dada yeye ndo ajuae na pia naomba awaangalie Hawa wanaotunga majina ya vilevi ati safari lager! Ndio maana ikanisafirisha mpk chumbani kwa dada wa kazi.. we acha tu..π€£π€£
Kaka unae sema ndo hivyo kachangamka..πKwahiyo ukasafarika mpka kwa lager(housegirl)πππ
Jamani sina kaka hapa
Lasivyo unaweza kujikuta kwa lager π π πKaka unae sema ndo hivyo kachangamka..π
Na kesho ndo sikukuu sijui sana lkn nitapiga simu waufunge kabisa mlango wa dada wa kazi.. alasivyo..π€£π€£