Introvert hawanogi bwana, huyu kaka yangu hana makuu ujue. Yeye ale ashibe tu baaasi. Hayo mengine mnarekebishana tu taratibu.[emoji28][emoji28][emoji28]nishamwambia napenda introvert sasa yeye extrovert kwisha habari yake..
Anaweza bwana, ni mtu mwema sana.Simuonei kuindesha familia..labda boda boda
Salama kabisa mdogo wangu mpendwa, uko poa?Habari za asubuhi mpendwa
Nipe namba nimtongoze [emoji6]Uwiiiiiih why dea.
Nyama ya hamu[emoji6]Binamu [emoji7]
Nyama ya hamuBinamu [emoji7]
Mambo binamuBinamu yangu nakusalimia
Yes bimanu ni nyama ya hamu mambo yakienda kombo basi mnapinduana tu [emoji38][emoji38][emoji38]Nyama ya hamu[emoji6]
Poa aiseeeh binamu yangu, ishu zinaendaje natumai upo poaMambo binamu
Haipingwi hyo [emoji111]Yes bimanu ni nyama ya hamu mambo yakienda kombo basi mnapinduana tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Nimekumiss mnooPoa aiseeeh binamu yangu, ishu zinaendaje natumai upo poa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeona hiyo,Haipingwi hyo [emoji111]
Hamn kitu hakipingwi kam kudumisha ukoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeona hiyo,
Nimekumiss zaidi zaidi shida yako ya simu umeitatua? maana kukupata hewani ni kwa nyakati tofauti tofauti, ili nikuone mara kwa mara nikukinaiNimekumiss mnoo
Kama wa hindi[emoji4][emoji4]Hamn kitu hakipingwi kam kudumisha ukoo
Hamn binamu wangu sim yangu me imepasuka kioo na kioo ni gharama sana na mpk kuagiza saa hv natapeli tu sim za watu nao siku wakijisikia wananinyakua[emoji2][emoji2][emoji2]Nimekumiss zaidi zaidi shida yako ya simu umeitatua? maana kukupata hewani ni kwa nyakati tofauti tofauti, ili nikuone mara kwa mara nikukinai
KabisaaKama wa hindi[emoji4][emoji4]
Hamn binamu wangu sim yangu me imepasuka kioo na kioo ni gharama sana na mpk kuagiza saa hv natapeli tu sim za watu nao siku wakijisikia wananinyakua[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hebu tumie hile nguvu ya hoja ya baby nikuambie kitu..... Halafu weka na kashida kako hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake mna silaha kali sana hata nuclear bom [emoji378]halifiki level zenu, unashindwaje kutumia hiyo nguvu ukapata iphone haraka[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]