T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,106
- 30,528
Vizuri sana kama wewe ni bukheri wa afya.Sasa tutaishije mpendwa? Au kwa neno?
Mie ni bukheri wa afya, na kwa pozi hilo natumai nawe u mzima wa afya kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasahau vipi jambo muhimu kama hili[emoji2297]Teh!!...Nilikuwa sijui au itakuwa nimesahau dada yangu.
Vizuri sana kama wewe ni bukheri wa afya.
Mimi pia nipo salama kabisa mpendwa.
Ooh basi sawa.Mtetea mtamu sana, nakamata mtete kwanza,
Nasubiria.Napenda aina hii ya ufugaji, nikienda shamba ntashare picha ntakutag pia
Hapana mkuu hapo ni sehemu flani tukuyu mbeya panaitwa bagamoyoNaona uko chimwaga ..hahha mi niko hapa cnms
Sawa mkuu nalipunguza
Ishakuwa shida hii[emoji2307][emoji2307]Ndio maana nilitaka nikutoe tukapange nini tunafanya, ila ukajifanya mjanja.
Sasa subiri January nikirudi ndio utajua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni majengo ya zamani hawataki kuyapata rangi wataharibu uhalisia wakeMwambie jirani yako apige rangi ukuta [emoji38][emoji38]
Karibu sana nitakuchinjia mtetea ndo huwa mtamu[emoji39]Nakuja kesho kula[emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ishakuwa shida hii[emoji2307][emoji2307]
Ninaandaa zawadi yako ya x mass my loveMiss too my wa mimi
Mambo ya ku bet hayo [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ni mmoja kati ya hao, zoom mmoja baada ya mwingine utaniona tuu.
Okey sawa sawa mzee babaHaya ni majengo ya zamani hawataki kuyapata rangi wataharibu uhalisia wake
Naomba namba yako Pm .Karibu sana nitakuchinjia mtetea ndo huwa mtamu[emoji39]
cocasticKichuna [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Najua kujipendaga tyuuh
NO STRESS. View attachment 1651385
Naomba umuite wifi yako kipenzi linahbaby aje hapa
Hapana mkuu hapo ni jwshehdhhehsdhebbsehemu flani tukuyu mbeya panaitwa bagamoyobhnshdvdgshushshshshshsheb