Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Na ma-Corona haya unasafiri kwenda wapi bro? I hope it was real necessary and you took the proper precautions [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ndani ya flight tunamuomba Mungu atufikishe salama.View attachment 1650345
Rafiki yangu kipenzi fanya basi nikuoneee...we naeeeSawa sawa Mzee Baba , tupia tupia
Nani ananiita nishafika Rafiki kipenziRafiki yangu kipenzi mtu chake unaitwa huku.fanya chap we nae tufanye mambo
Pole sana jirani yanguBaby linah leo kanitosa nimebaki na upweke wangu
Usimfanyie hivyo rafiki yangu linah.muonee huruma bas japo kidog
Me nisha mfungulia milango yote ila hataki kuingia
Dah @linnahbaby nakuja tuongeemtu chake rafiki yangu kipenzi unaniudhi sasa[emoji18][emoji18][emoji18]mambo gani haya sasa...umeshatafuniwa wewe ni kumeza tu na bado hutaki!!
Tafadhali naomba jitahidi kuiwakilisha nchi kimataifa
Merci beaucoup , nakuja babyMe nisha mfungulia milango yote ila hataki kuingia
Ehee haya majibu ya kiume sasa👌💪💪💪Dah @linnahbaby nakuja tuongee
Hahahaha ,we Chakorii weeUsimfanyie hivyo rafiki yangu linah.muonee huruma bas japo kidog
Hahahaha ,we mchochezi eehEhee haya majibu ya kiume sasa[emoji108][emoji123][emoji123][emoji123]
Hapa unanibariki sasa...Merci beaucoup , nakuja baby
hahahaha, dah basi sawalinahbaby alikuwa ananiambia kuwa kashakutafunia umebakia kumeza lakini bado hutaki kumeza.mlango uko wazi kipenzi changu mbona unaniangusha namna hiyooo...unaniudhi ujue
Eheee wakilsha nchi vizuri nakuaminia kipenzi changu 💋💋hahahaha, dah basi sawa
Hahahaha, viswala vya wapi tena ? Ngoja tuoneHapa unanibariki sasa...
Achana na vile viswala vyako vya “kule”ambavyo huvijui..bora huyu.[emoji3344][emoji3344][emoji3344]
UnachocheaNimefanyaje!!ushaanza kunichumia dhambi muone[emoji38][emoji38]
Hahahaha, hapana bana ,but @linnahbaby mzuri ,nitakaa nae tuongeeEheee wakilsha nchi vizuri nakuaminia kipenzi changu [emoji182][emoji182]
hahahaha, Rafiki mie siwezi weka picha yangu humu, maadili hayaniruhusuRafiki yangu kipenzi fanya basi nikuoneee...we naeee
Hivi ndo vitu vya kuongea sasa..Hahahaha, hapana bana ,but @linnahbaby mzuri ,nitakaa nae tuongee