Selfika na JF: Snap it. Show it

Rice, firewood and tank.

Only legends will understand.
Kwani nasema uongo ndugu zangu?
 
 
Chakorii sorry mumy naona hujapenda nlichokuuliza, ili n kutokana na ulichonijibu.🙌🙌
Umesema "unazipenda zote kutokana na msimamia ukucha"
Na hapo kunaaina zaidi ya moja mean's kunaanae jua matumiz ya hyo mojawapo tofauti na mwingie
But all in all naomba nsamehe kama nmekukwaza😥😥😥
 
Yoyote-kitu
Yeyote-mtu

🥂
 
Mimi sina nongwa mkuu, sema tu nimeshtuka kusikia mpare anatuletea sijui niite shemeji.

Sasa nakuonya usiwaonyeshe hawa huyo bwashe, utaibiwa...sema nini, hata wao wataogopa kukuibia
wameelewa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…