Picha mbona niliweka juu huko hukuziona? Au hukuwa active kwa wakati huo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mam nae mmmh, afu picha yako umeniuza had leo nasubir, km vle wanadam tunavomsubir masiha.
Naogop kukuanz usije kunicharua buree, ila nakuona tyuuuh.
Ila nlkumic mno, af huyo muongo hat sijamsuta,
Mie jomoneeeeeeh mpole, mkmya, na sio mswahili.
Halafu fanya kunitumia nami picha ya Shemela PM nimuone.. Na ya kwako.Wacha tyuuuuuh dea, mapenzi matamu hiviii?
halali watu wajiue, mwenzio saiv nalala na khanga moko,
Uwiiiiiih usku mzima n segere na sebene,
Hallow huyu mpare kajua kunimalizaaaaaaaaaaah.
Love dea uje umuone shemejio.
Wallah umenifanya had muhusika aulize nacheka nini,Hivi kukata viuno nani aliwafundishaga hebu tuanzie hapo..maana viuno vyenu vinapepeaga kama karatasi.
Darling usinionyeshe nitamuiba ugonjwa wangu wanaume wembamba kiasi halafu warefu.
Si unajuaga sisi shotii tunakuwa na gubu eee eheee so nataka kuiminimaizi gubu
Manake ni wa jeuri hao...halafu akiwa introvert ndo balaa [emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1650178
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule kwenye Vumbi si alisema hakuna Issue kule???Hapo anajikosha maana w.end nzima hakuwa nyumbani, sijui alikuwa kule kwenye vumbi[emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tyuuuh mie navokupenda mam, hunaga fix aaan.Picha mbona niliweka juu huko hukuziona? Au hukuwa active kwa wakati huo?
Pendaneni jamani.. Dunia hii hakuna jambo zuri kama kupendwa na kupenda.
Iceberg9 asikuzingue..
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeeeh usijar dea, ila anzaa wee yako nayoisubir miaka nenda rudi.Halafu fanya kunitumia nami picha ya Shemela PM nimuone.. Na ya kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona hata kujitolea kunilipia nauli??🤔😒😏😮😮😮hvyo viatu mbele yako c n vyangu kabisa 🚮
🚶🚶🚶
Nimeanza kuomba mimi.. ungenitumia kwanza..Eti eeeeh usijar dea, ila anzaa wee yako nayoisubir miaka nenda rudi.
Ukaribie siku nyingine 🤗[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] mwaya unantamansha lol.
AsantePole sana mtakatifu wangu
Nooope dea usinitue, nshaghairi bas.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
TanteeeeeerhUkaribie siku nyingine [emoji847]
Sijaenda [emoji4]Hujaenda dom cc?
Mmmmmmh mam jomoneeeeh lol
Ooooh lin sasa?Sijaenda [emoji4]
Dea puliiiiz
😁😁😁ko unawasimamizi wangapi was huo ukucha🚮
🚶🚶🚶