Makiseo hebu ukuje darling umuwish msukuma leo nae anasabidei eti, angalau wewe una maneno matamu matamu.
Sijui kala wadudu gani leo maana kwenye matunda alihama.

@SHIMBA YA BUYENZE
Happy Belated Birthday Dear Bro. Mimi Makiseo na Mdogo wangu Espy Tunakupenda sana.. Tunakutakia maisha mema yenye kumpendeza Mungu.