financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Huna umri huo bana 68 babu yangu kabisa huyo anashinda shamba hata jf haijui. Wewe ni kijana mdogo tu hisia zinanambia hivo😀Sasa leo nimegonga 68 nikiweka picha hapa si itakuwa mtafutano jamani. Acha wengine tuendelee tu hivi hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wow mi nilikua nakufahamu wewe tu, kumbe tupo kibao, proud to be nyakyusa😍Kuna simara na brenda 18 pia. Dooh nimemkumbuka strong girl, mnyaki mmoja amazing sana
Sana mkuu maana huwa hatupwayaniUna ugonjwa wa watu wembamba eeh?
Akiku tag nijibu plz[emoji1]Akikujibu nitag plz[emoji38][emoji38]
Em nionee huruma dada yako jamani. Anyway nitapost kabla ya mwaka huu kuishaWeka
Mimi mwenyewe nikivaa Dera nakuwa Kama nimevaa kanzu hivi.
Wow mi nilikua nakufahamu wewe tu, kumbe tupo kibao, proud to be nyakyusa[emoji7]
Umesahau mkuu Ollachuga OcWee mwembamba, una tu mguu twa soda,[emoji2957] una kiuno nyigu, mgongo flat iv, tumbo flat pia[emoji2][emoji2] una uso mrefu na macho kma unaangalia chini[emoji846][emoji846] ..afu nikwambie kitu, suruali azikupendez mwaya, pigilia vigauni vya kushona vile day utatisha kinoma ..[emoji3][emoji3]
Em nichek PM tubonge zaid namna ya kuvaa..[emoji6][emoji6]
Wait eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Teh naomba @Jael awe hajaona hiyo compliment ya ustaarabu.
Mnyaki umetuwakilisha vyema, ndaga fijo
WifuuuuuuuuuuWait eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau mkuu Ollachuga Oc
Ana kifua kimetuna kama twiga ananyonyesha[emoji3]
Nakazia tu......
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Mie mjaluo bwana, sio mnyaki.Hivi ni kwa nini humu kuna Wanyaki wengi hivi?
Heaven Sent
Karma
Soulimeti
Mtakatifu Ana
Jael
What is going on nyie Wanyaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hapana silazimishi kupitia kwenye comment kiingie tumboni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwahiyo ndo unataka kupitia kwenye comment kiingie tumboni si ndio..
Chizi kabisa[emoji38][emoji38]
Kunisingizia mambo mazito utaacha lini?@Jael wa huko walikoshindikana, ngumi jiwe. Afu hatupo wengi sana mbona
Weka leoEm nionee huruma dada yako jamani. Anyway nitapost kabla ya mwaka huu kuisha
Hivi house girl alikwenda wapi?Kuna simara na brenda 18 pia. Dooh nimemkumbuka strong girl, mnyaki mmoja amazing sana
Duuh am speechless mkuu, ila suruali ndiyo napendelea zaidi.ila ntajaribu na magauni pia ahsante.Wee mwembamba, una tu mguu twa soda,[emoji2957] una kiuno nyigu, mgongo flat iv, tumbo flat pia[emoji2][emoji2] una uso mrefu na macho kma unaangalia chini[emoji846][emoji846] ..afu nikwambie kitu, suruali azikupendez mwaya, pigilia vigauni vya kushona vile day utatisha kinoma ..[emoji3][emoji3]
Em nichek PM tubonge zaid namna ya kuvaa..[emoji6][emoji6]
Hehehehehe haki kicheko kimenibana
Ungesema Mkurya labda ningekubali. Una upole gani wewe? Mpole gani anakoromea mafurushi hivyo?