Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nimekuwakilisha pia mnyaki mwenzangu mstaarabuu, sisi wengine sasa[emoji14][emoji848]
Lile hipusi ndiyo mifupa? Usinitanie wewe mndali. Mimi nikigonga dera jeupe utahisi ni Ustaadh kavaa kanzuMimi nilipost mwili umejaa mifupa ty.
Hebu post basi,nasubiri upost ili nitimize ahadi ya kuweka zile picha pasi na kufuta.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lile hipusi ndiyo mifupa? Usinitanie wewe mndali. Mimi nikigonga dera jeupe utahisi ni Ustaadh kavaa kanzu
Hata mimi hivi vikuku sijui ndiyo mnaita zezeta silagi kabisa [emoji13][emoji13]Kaone. Kufikisha miaka 70 kwa kizazi chenu hiki cha mabroila hiki ni bahati sana. Afadhali sisi kidogo tulikulia kwenye vyakula halisi na maisha ya kuhangaisha mwili. Ila nakuombea uje ufikishe miaka 70 na zaidi.
ASANTE [emoji1545]
Wikendi poa kabisa. Nimekuona. Yu a gojazi mai soulimeti [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]Hello my friend/my Salimeti, habari ya weekend![emoji3]
Mwee wamegoma kuwaachia hata weekendSi bora hata kungekua na mtoko my dear, hiyo ni kazini na kurudi home[emoji3][emoji3]
Hivi ni kwa nini humu kuna Wanyaki wengi hivi?Mbona kama umetushindwa hivi wanyaki, tumekosea wapi siye na my Heaven Sent ??[emoji1]
Mtumishi mwema. Hii naitia katika fremu kabisa aisee. Sina la kusema isipokuwa tu kusema Amen. I am humbled na ASANTE sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mtumishi wahenga si huwa tunamshukuru tu Mungu kimya kimya then hep sabidei inakuwa imeisha. Na ikiwa situation kama yako, mixed feelings tu.
Basi nami kama Mtumishi; haya ni maombi yangu kwako;
-Jina lako likavishwe taji ya heshima; ukaketi katikati ya wakuu.
-Ukapate kibali, mbele za Mungu na wanadamu. Vitu na watu wakakuitikie.
-Itabarikiwa asubuhi yako, mchana, jioni na usiku wako. Utabarikiwa uingiapo na utokapo.
- Kama ambavyo umekuwa baraka kwa wengi; Mungu azidi kukufanya baraka, faraja, tumaini na kimbilio la wengine.
-Hatua zako zikaimarike; usianguke wala usisimame; ukasonge mbele daima.
-Mungu na akafanye njia pasipo na njia, akafungue milango na malango yako; palipo na giza na ikawe nuru.
-Mungu akaumbe na kuhuisha kila kilichokuwa kimekufa kwenye maisha yako; na akurejeshee kila kilichokuwa kimepotea.
-Ukaongezeke na kustawi sana juu ya nchi. Ukafanywe bora mara kumi zaidi ya wengine
-Ukajawe na maarifa na ufahamu usije ukaangamia
-Hutokosa wala kupungukiwa chochote cha muhimu kwa ajili ya kutunza familia, jamii na kanisa la Mungu.
-Wana na mabinti zako wakaitwe waliobarikiwa.
-Uzao wako ukakufanye utajwe malangoni.
-Ukaishi maisha marefu yenye afya, furaha na amani. Ukawalee watoto wako na wajukuu zako
Yohana 20:20
"Mwivi haji ila aharibu na kuvunja na kuchinja, bali mimi nimekuja ili muwe na uzima kisha muwe nao tele"
-Kila majanga, uharibifu, shida na tabu za dunia hii; hazitokudhuru. Utakuwa na uzima tele kwenye afya, uchumi, mahusiano na kila nyanja ya maisha yako. Yaliyoharibu na kuua wengine; wewe hayatokupata, uhai wako umetunzwa. Have life in abundance Mtumishi.
Last born wa kiume na mama yake; I can imagine. May her gentle soul rest in perfect. Mshukuru tu Mungu kwa neema ya kuwa naye kwa miaka yote hiyo uliyobarikiwa kuwa naye. Ukayaenzi yale mema yote aliyokufundisha na kukuongoza. She must be so proud of her last born.
Mimi na familia yangu tunakupenda sana na tunakuombea Mtumishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ni kwa nini humu kuna Wanyaki wengi hivi?
Heaven Sent
Karma
Soulimeti
Mtakatifu Ana
Jael
What is going on nyie Wanyaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
WekaLile hipusi ndiyo mifupa? Usinitanie wewe mndali. Mimi nikigonga dera jeupe utahisi ni Ustaadh kavaa kanzu
Sasa si uweke ili niweke[emoji4]Bei ya picha yako Mkuu imechangamka.
Naomba unipunguzie bei tufanye biashara.
Mbona kama umetushindwa hivi wanyaki, tumekosea wapi siye na my Heaven Sent ??[emoji1]
kumbe tupo wengi wengi hivo safiii😍Hivi ni kwa nini humu kuna Wanyaki wengi hivi?
Heaven Sent
Karma
Soulimeti
Mtakatifu Ana
Jael
What is going on nyie Wanyaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hivi ni kwa nini humu kuna Wanyaki wengi hivi?
Heaven Sent
Karma
Soulimeti
Mtakatifu Ana
Jael
What is going on nyie Wanyaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wataje! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hata wasukuma pia mpo wengi humu
Thank youu eti "gojazi"😀😀 it's your turn sasa na mimi nikuone japo ukucha tu wa Salimeti jamani.Wikendi poa kabisa. Nimekuona. Yu a gojazi mai soulimeti [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
Mtumishi mwema. Hii naitia katika fremu kabisa aisee. Sina la kusema isipokuwa tu kusema Amen. I am humbled na ASANTE sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sasa leo nimegonga 68 nikiweka picha hapa si itakuwa mtafutano jamani. Acha wengine tuendelee tu hivi hivi [emoji16][emoji16][emoji16]Thank youu eti "gojazi"[emoji3][emoji3] it's your turn sasa na mimi nikuone japo ukucha tu wa Salimeti jamani.
SalimetiWataje! [emoji16][emoji16][emoji16]
kumbe tupo wengi wengi hivo safiii[emoji7]