Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Shikamoo baba SYB.
Unalingana umri na baba yangu..ni leo tu nimetoka kuongea nae sijui tulia nzima wapi ila akaishia kunitajia miaka..inafurahisha ee ehee
Yeye ni 9.9....
Happy new age Daddy SYB.
Usije ukaanza kumdangia anne wa watu
Kaone. Kufikisha miaka 70 kwa kizazi chenu hiki cha mabroila hiki ni bahati sana. Afadhali sisi kidogo tulikulia kwenye vyakula halisi na maisha ya kuhangaisha mwili. Ila nakuombea uje ufikishe miaka 70 na zaidi.Naelewa kuwa hii ni siku pia ya majonzi kwako. Pole sana.
Kweli kabisa mdogo wangu soon unatufikia wenye 70 yetu. Karibu uzeeni.
Mimi sipo hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi mtakatifu na kisketi chake cheusi safiiii mama mchungaji ulegi upo sana t[emoji182]
Huwa kinapita haraka sana. Kitumie vyema mkuu. Na ukitaka ushauri big bros tuko hapa usiogope. Been there done that...Ujana raha sana,
Nahisi ndio kipindi cha maisha ambacho hakuna mtu anapenda kiishe.
Tuendelee kula ujana
Niko poa
Aiseeeeee!![emoji15]Usije ukaanza kumdangia anne wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawasawa,
Kwenye huo mtoko, wewe hukupiga picha?
Sijambo
Amen daddy...ASANTE sana binti yangu mwema. Mungu Aendelee kumbariki mzee wako pia na kumjalia miaka mingi mingine hapa duniani. Endelea kumwangalia na kumjali. Utabarikiwa sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji120][emoji120]
aise we msukuma mbona unanilazimisha kichanga kwenye comment??
Hapana mimi nakulazimisha kichanga kwenye tumbo[emoji38][emoji38]
aise we msukuma mbona unanilazimisha kichanga kwenye comment??
Nitakukata makonzi ujue[emoji38][emoji38][emoji38]we haya
Wee mwembamba, una tu mguu twa soda,[emoji2957] una kiuno nyigu, mgongo flat iv, tumbo flat pia[emoji2][emoji2] una uso mrefu na macho kma unaangalia chini[emoji846][emoji846] ..afu nikwambie kitu, suruali azikupendez mwaya, pigilia vigauni vya kushona vile day utatisha kinoma ..[emoji3][emoji3]Khaa nipoje mkuu[emoji3]
Huwa unapaka Vaseline lip therapy??View attachment 1648047
Chuchunge[emoji28]
ππππππππππππππππ kwahiyo ndo unataka kupitia kwenye comment kiingie tumboni si ndio..
Hizi ni lips tu au kuna kingine mkuu??View attachment 1648047
Chuchunge[emoji28]
Una kimdomo flani amazing πView attachment 1648047
Chuchungeπ
Hello my friend/my Salimeti, habari ya weekend!πOh Jizazi! Hellow soulmate [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji870][emoji870][emoji870]