Drizzle JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 4,857 Reaction score 14,747 Dec 12, 2020 #79,781 Iceberg9 said: Dogo umejilipua, Click to expand... Kaamua kujitoa mhanga . Vp wewe bado hujafikiria jamaa
Iceberg9 said: Dogo umejilipua, Click to expand... Kaamua kujitoa mhanga . Vp wewe bado hujafikiria jamaa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 12, 2020 #79,782 Iceberg9 said: Mdogo wangu na soda Click to expand... Karibu boss
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 12, 2020 #79,783 Karma said: Hiyo soda unaiweza Click to expand... Nzuri mno Hasa kwa ajili ya kutengeneza sauti.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Dec 12, 2020 #79,784 Karma said: Sema "SU" Click to expand... SU
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 12, 2020 #79,785 Habari za asubuhi mpendwa katika Bwana Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 12, 2020 #79,786 Chakorii said: we msukuma unaakili mbovu sanaaaaaaa Click to expand... Hujambo dear Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Chakorii said: we msukuma unaakili mbovu sanaaaaaaa Click to expand... Hujambo dear Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 12, 2020 #79,787 Drizzle said: Kaamua kujitoa mhanga . Vp wewe bado hujafikiria jamaa Click to expand... Bado bado nahitaji kuwa na uhuru wa nafsi na sio kujulikana hapa, kuna wengine ni waheshimiwa sema tunakuja humu tunajifanya vichalii ili twende wote sawa
Drizzle said: Kaamua kujitoa mhanga . Vp wewe bado hujafikiria jamaa Click to expand... Bado bado nahitaji kuwa na uhuru wa nafsi na sio kujulikana hapa, kuna wengine ni waheshimiwa sema tunakuja humu tunajifanya vichalii ili twende wote sawa
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,603 Reaction score 11,883 Dec 12, 2020 #79,788 Pedestrian As usual
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 12, 2020 #79,789 T 1990 ELY said: Hujambo dear Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app Click to expand... Sijambo shikamoo dear
T 1990 ELY said: Hujambo dear Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app Click to expand... Sijambo shikamoo dear
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 12, 2020 #79,790 My Sons Legacy said: Pedestrian As usual View attachment 1647812 Click to expand... Wapi hii
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 12, 2020 #79,791 Iceberg9 said: Bado bado nahitaji kuwa na uhuru wa nafsi na sio kujulikana hapa, kuna wengine ni waheshimiwa sema tunakuja humu tunajifanya vichalii ili twende wote sawa Click to expand... Weee usiniambie jirani..
Iceberg9 said: Bado bado nahitaji kuwa na uhuru wa nafsi na sio kujulikana hapa, kuna wengine ni waheshimiwa sema tunakuja humu tunajifanya vichalii ili twende wote sawa Click to expand... Weee usiniambie jirani..
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,603 Reaction score 11,883 Dec 12, 2020 #79,792 Chakorii said: Wapi hii Click to expand... Kwenye lile Daraja ~ Buguruni
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 12, 2020 #79,793 Siku ya leo imenikalia kuchezea chezea maji tu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 12, 2020 #79,794 My Sons Legacy said: Kwenye lile Daraja ~ Buguruni Click to expand... Ohooo kumbee..sawa. Habari yako lkni
My Sons Legacy said: Kwenye lile Daraja ~ Buguruni Click to expand... Ohooo kumbee..sawa. Habari yako lkni
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,603 Reaction score 11,883 Dec 12, 2020 #79,795 Chakorii said: Ohooo kumbee..sawa. Habari yako lkni Click to expand... Bomba sana, Vipi haliyako ?
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 12, 2020 #79,796 My Sons Legacy said: Bomba sana, Vipi haliyako ? Click to expand... Ni poa sana nazidi kumshukuru Mungu kwa utukufu wake
My Sons Legacy said: Bomba sana, Vipi haliyako ? Click to expand... Ni poa sana nazidi kumshukuru Mungu kwa utukufu wake
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 12, 2020 #79,797 geraldincredible said: hapana hatuna mahusiano zaid ya kwamba yy mnyakyusa mimi mnyakyusa. .. mkuu karibu balimi Click to expand... Haha Wanyakyusa tunajuana kumbe Shukrani mkuu karibu Safari
geraldincredible said: hapana hatuna mahusiano zaid ya kwamba yy mnyakyusa mimi mnyakyusa. .. mkuu karibu balimi Click to expand... Haha Wanyakyusa tunajuana kumbe Shukrani mkuu karibu Safari
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 12, 2020 #79,798 Saint Anne said: Nzuri mno Hasa kwa ajili ya kutengeneza sauti. Click to expand... Mmmmhh
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 12, 2020 #79,799 Espy said: SU Click to expand... Asante
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Dec 12, 2020 #79,800 financial services said: Wakuu! Habari ya weekend Click to expand... Naweza kusema jinsi ulivyo kwa hii picha
financial services said: Wakuu! Habari ya weekend Click to expand... Naweza kusema jinsi ulivyo kwa hii picha