Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Life is really simple, but we insist on making it complicated~Confucius
20201211_174347.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh!!

Bado ndiyo ila kwa kuwa tayari umenipa kibali cha kuwakilisha chama langu pendwa la CHAPUTA

Kuanzia muda huu tegemea mabadiriko ya kimwili

Kichanga kitapatikana vizuri sana na huo uzee wako

Najua maini bado hayajazeeka na sehemu pendwa ipo vizuri na salama kabisa kwa matumizi ya binadamu

Chakorii bhana

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 we msukuma unaakili mbovu sanaaaaaaa
 
Back
Top Bottom