T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,097
- 30,500
Teh!!...Kila nikiweka mkeka unachanika.Msukuma umenisikitisha na kunichekesha kwa pamoja. Pambana mpendwa
Kwema kabisa mpendwa.Teh!!...Kila nikiweka mkeka unachanika.
Kwa kweli wacha nipambane maana nimechoka kuendelea kufa na utamu wangu kama muwa
Kwema lakini mkuu Heaven Sent
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mpendwaKwema kabisa mpendwa.
Kwa kweli pambana hadi jasho lako la mwisho.
Umetisha mzee, mm nnamuona bibi na bwana hapo
Umetisha mzee, mm nnamuona bibi na bwana hapo
Sawa sawa mkuu, upo daslam kweli?nisogee kwenye kitimoto hapo mwanao nnatambalia rim [emoji23], mbaya kabisaCha mkazi hicho boss wangu...
Sawa sawa mkuu, upo daslam kweli?nisogee kwenye kitimoto hapo mwanao nnatambalia rim [emoji23], mbaya kabisa
J'mos ntakuwa moshi boss, tufanye jumatatu jioni, ntakuonyesha chimbo flani hatari sanaTuonane jumamosi hapo hapo location...
Nigawie na mimi boss
Jumapili jioni napotea hapa mjini mkuu. Huwenda tukaonana huko kaskazini...J'mos ntakuwa moshi boss, tufanye jumatatu jioni, ntakuonyesha chimbo flani hatari sana
Nigawie na mimi boss
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1645749
Sawa bossNikitaka kufunga ndoa nitakutafuta [emoji7]
Hapana.Upo dodoma... [emoji4]
Sawa boss
Hope itakuwa kumpamba mkeo au[emoji4]
Pamoja chief,Jumapili jioni napotea hapa mjini mkuu. Huwenda tukaonana huko kaskazini...
Anhaa Kumbe Mimi[emoji1787]Utapambwa wewe ama nafasi hiyo haikufai [emoji4]
Anhaa Kumbe Mimi[emoji1787]
Mwaka gani huo??
Wachumba zako wakija Mimi sina nguvu za kupigana nao.