Watu wajiachie,nnavo amini kuna couple nzuri tu zitatokea kwenye huu uzi.
Mpaka sasa sijaona mwanaume aliyenisisimua kihisia nikamsifia mpaka basi
Sifa nipendazo,,,
Black tiii
Mfupi au mrefu vyovyote tu
Mikono migumu migumu na yenye misuli flani hivi
Ngozi ya suluba
Zipo huko nyuma mkuu. Jaribu kuchek replies zangu za huu uzi utaonaHembu nionyeshe zako kwanza na Mimi nitakuonyesha zilipo zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama sumu kwangu.watumia?
Basi hata zangu zipo hukoZipo huko nyuma mkuu. Jaribu kuchek replies zangu za huu uzi utaona
Hahahaha daaah
Wanaume wengi walaini sana hawajui tu kuwa ule ugumu wao kuna wengine unatusisimua
Wewe vipi huna hiyo misuli misuli?
onyesha mfano mzee babaWatu wajiachie,nnavo amini kuna couple nzuri tu zitatokea kwenye huu uzi.
Nasubiri ataenilowesha nimlipizie .....haahahha kaa chonjoKwa heshima na taadhima naomba uposr tena..
Sijaona picha yako mama la mama
Watu wajiachie,nnavo amini kuna couple nzuri tu zitatokea kwenye huu uzi.
Kumbe kutuma picha ni rahisi tu ushamba mzigo!!!View attachment 1221753
Juzi ulikwamia wapi? Na humu imo mbona
Rangi hapo umenikosa
unapendelea nini?Ni kama sumu kwangu.
Sitaki hata kuona.
Hizo sifa mimi sina,sisi tuna zile sifa ambazo ni nzuri zaidi ya hizo zile za "Kati na kati".Wanaume wanakwama wapi;?
Zurri njoo uokoe jahazi hapa kwa huyu mrembo