[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hebu itume tuone mambo mazito mpaka simu itetemekeUnajua ile niliiweka chap nikaitoa kwa haraka so watu wachache sana waliiona ikiwepo wewe na ankali mshana then nikaifuta[emoji28]
Namba yako ninayo nitakutumia kwa watsap jirani
Sawa madameJamani mbona nimefungia fungia bagia zilobaki nikatupa ππ
Siku nyingine uwe unasema mapema mama ππ
Jirani kwa kuchuuza wenzio hujambo.siweki ngβodo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hebu itume tuone mambo mazito mpaka simu itetemeke
Kwani nani ni mbobezi jirani πMimi najaribu najaribu tu sio mbobezi sanaaaa
Nipe hela nikuwekee aliyoifutaHahahaha.... Chakorii umefuta picha nimerudi kuiangalia haipo.
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Bro, umeziona bastola hizo za Annie?Nimekusaidia kupindua picha ili ionekane vizuri [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1639510
Hahahaha....niliiona japo nilitaka kurudi kuiona kwa ukaribu zaidi na kuthaminisha kama yaliyomo yanaweza kuwemo.Nipe hela nikuwekee aliyoifuta
Mimi ninayo
Dawa ya mvua ni kampani, karibu njiro
AsanteDawa ya mvua ni kampani, karibu njiro
Hapana naumwa na niniliu dearUnaumwa na magego au
Codes hizoMtu chake na vinukta nukta vyake sijui vilikupaga nini[emoji2][emoji2]
Riziki ipi hy RafikiKwahiyo unaamua kunizibia bahati rafiki kipenzi?[emoji28][emoji28]
Ahsante, vzr km na ufurahisha moyo wakoMarahaba rafiki yangu mzuri.adabu yako inaufurahisha moyo wangu[emoji1635][emoji1635]
HahahahaKwahiyo unaamua kunizibia bahati rafiki kipenzi?[emoji28][emoji28]
Nikadhani dawa yangu iko kwa kiuno[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28] kwahiyo unajiona mjanja si ndio.
Dawa yako iko kwa jiko
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]