Hukoseagi wewe, sema kaswali kangu hako je umeshawahi kukaa tanga au wewe unatokea tanga? , kama unatokea tanga wewe ni fundiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani nimepatia mkuu
Wacha Bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi kwa kweli
Hapana mkuu mi nilipita tuHukoseagi wewe, sema kaswali kangu hako je umeshawahi kukaa tanga au wewe unatokea tanga? , kama unatokea tanga wewe ni fundiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha Bwana[emoji23][emoji23]
Macho tu ya jamaa yatakuwa na Shida.
Pole yakeAmepona[emoji7][emoji8]View attachment 1632755
Ukiokoka wewe inatosha mkuu
Sawa sawa mkuuHapana mkuu mi nilipita tu
Sijawahi kuishi huko na wala sio mtu wa huko
Dodoma fahari yetu
[emoji7][emoji7] [emoji4][emoji4]Dodoma fahari yetu
Watanzania[emoji3590][emoji172]
Nimekuona sehemu,nipo upande wa pili kama unaelekea choo cha wanawake.
Dogo ka ataki kitu vile afu unamfosi.[emoji3590][emoji7]View attachment 1633066
HamnaDogo ka ataki kitu vile afu unamfosi.
Saa ngapi mkuuNimekuona sehemu,nipo upande wa pili kama unaelekea choo cha wanawake.
Ni dalili kwamba ni kapole.Hamna
Ndivyo alivyo, Ana tabia ya kuinamisha shingo hivyo anapoangalia kitu.
Hata nyumbani akiwa anaangalia tv anaweka shingo hivyohivyo.
Tumemkataza tumeshindwa.