Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Hewa yenyewe hii ya mbanano hata haitoshi.
Vuta hewa tu mama inakutosha
Hewa yenyewe hii ya mbanano hata haitoshi.
Vuta hewa tu mama inakutosha
Inatosha hiyo hiyoHewa yenyewe hii ya mbanano hata haitoshi.
Ahsante mkuu
Ugali na kachumbari
Mboga hujaiona mkuu?Ugali na kachumbari
Hii kali kweli mkuu
Hiyo ni ya kiepe kama sijakosea au hicho kiepe ni matunda?Mboga hujaiona mkuu?
Ugali kachumbari na samakiHiyo ni ya kiepe kama sijakosea au hicho kiepe ni matunda?
Salama kabisa mkuuUgali kachumbari na samaki
Kiepe kachumbari na samaki
Vipi kwema lakini mkuu
Mwamba una manyonyo.
Vizuri sana kama ni salama mkuuSalama kabisa mkuu
Ni hewa tu mpenzi 😄😄Ah hilo tomo linavon’gaa nikajua km cheese au siagi. Macho yashatangulia![]()
Salam zakoHizi akili umezielewa ehhh