Whaaaat ??
Na mie kawaida huwa natengeneza na kachumbari ila leo nimeshtukia nyanya ngumu hamna na muda umeshaenda. What a sweet mama though
...I hope bado yuko around na huwa anakupikia mara moja moja ukienda kumuona!!
Wa choroko nimewahi kula ila sio kupika....sikuupenda sana. Labda siku nijaribu kupika mwenyewe, pengine ntauelewa
Alafu unaachaje kupenda wali maharage Wolf?? Au hujawahi pata mpishi mzuri wa kukushawishi???