Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante sana, nakumbuka mama alikuwa ananikatia na kachumbari ya nyanya, napenda mseto huu na wa choroko ila huwezi amini sipendi wali plain na maharage
Whaaaat ??😳😳 😜😜 Na mie kawaida huwa natengeneza na kachumbari ila leo nimeshtukia nyanya ngumu hamna na muda umeshaenda. What a sweet mama though πŸ™‚πŸ™‚...I hope bado yuko around na huwa anakupikia mara moja moja ukienda kumuona!!

Wa choroko nimewahi kula ila sio kupika....sikuupenda sana. Labda siku nijaribu kupika mwenyewe, pengine ntauelewa 😏😏

Alafu unaachaje kupenda wali maharage Wolf?? Au hujawahi pata mpishi mzuri wa kukushawishi???
 
Binafsi namshangaa mtu anaesema anapenda wali maharage aiseπŸ˜…
 
Unaogopa kujambajamba
Hapana jirani.wali haujawahi kunibariki kabisa.

Napenda ugali kama msukuma aise naweza kula mwaka mzima bila kuchoka cha msingi mboga ziwe zinabadilika tu.(sijui nifanye fanye huko niolewe na ngosha!!πŸ€”πŸ€”)au unasemaje jirani yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…