Yule mama watu walikuwa wanamkimbia Kama nyuki..
Mimi hata akisahau kitu class nampelekea ofisini kwake tunakaa tunapiga stori..sijui alinipendea Nini..
Aliwaambia wazazi wangu wamgawie mimi niwe mwanaye
,angejua kama mimi hata si mpole kihivyo.
Kipindi nasoma sijawahi kuwa na nywele fupi ila sikuwahi kunyolewa na mkasi.