Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii ndiyo ya cheat day au hiyo bado nisubiri wikendi?

Shida yako unaweza kupiga vijiko vitatu tu hapo halafu ukagivapu. This proves nothing japo ukiweza kusafisha sahani yote ukasukumizia na yale maembe yako na sharubati angalau kutakuwa na matumaini kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ kesho ndio rasmi zaidi ila leo pia nimejitoa mhanga kidogo nikajaza kasahani kangu na nimemaliza chote!!!!

Badae ndizi moja na maji ya kunywa siku inaisha vizuri. Ukitaka niongeze zaidi ya hapo sasa utakuwa hunitakii mema SHIMBA YA BUYENZE 😏😏
 
Let me reserve my final analysis until tomorrow. Nikiona hiyo rasmi ya kesho ndo nitaona kama kuna matumaini au pengine u- Flaviana Matata hauepukiki [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…