Yaani niko hivi mtu akinipenda ni yeye mwenyewe ila mie sihitaji kupendwa
Yaani huwa naona mtu anipende au asinipende kwangu mie ni sawa tu
Na hata siku moja huwa siamini mtu akiniambia ananipenda yaani tangu mdogo niko hivyo sijui kwanini
Mie huwa naona kawaida ila kuna watu wengine huniambia hii siyo hali ya kawaida maana eti hakuna mtu asiyehitaji kupendwa