Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Nawe una mpango wa kubadili ID?Unajua kuna kitu umenifumbua hapa...
Ina maana JF sasa hivi imempa mtumiaji uwezo wa kujibadilishia ID peke yake na siyo kazi ya Mods tena?
Kama ni hivyo mbona kuna watu watabadili ID kila siku[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nijiite MASHIMBA[emoji23][emoji23][emoji23]Nawe una mpango wa kubadili ID?
Shimba - simba
Eti watu wa Nyakabindi[emoji23][emoji23][emoji23].. Usinitafute ubaya ShimbaShimba - simba
Shimba ya Buyenze - Simba dume lenye manyoya
Mashimba - Masimba makubwa ya kutisha
Shimba Ng'hima - Simba Jike
Gashimba - Simba Mutoto
Chagua mojawapo kati ya hayo watu wa Nyakabindi tufanye sherehe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Nyakabindi - kama vile Old Maswa, Mwakibuga, Sapiwi, Bupandagila, Dutwa - ni jina tu la kijiji cha kwetu. Halina maana mbaya [emoji16][emoji16]Eti watu wa Nyakabindi[emoji23][emoji23][emoji23].. Usinitafute ubaya Shimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunaita hivyo hivyo Simba Jike..Nyakabindi, Old Maswa, Mwakibuga, Sapiwi, Bupandagila, Dutwa....ni maneno tu ya vijiji vya kwetu. Halina maana mbaya [emoji16][emoji16]
Simba Jike mnaitaje kwa kilugha chenu? Watoto wa kishua nyie si ajabu hujui neno hata moja katika lugha ya kabila lako.
Weka jibu hapa chini.
Mtetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka jibu hapa chini.
Simba Jike - Shimba Ng'hima (Kisukuma)
Simba Jike - _______________ (Kilugha chako)
Lugha gani hii? Nahisi kama ni kamba hii aisee. Mtetea haihusiani na kuku kweli? Dah!Mtetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lugha gani hii? Nahisi kama ni kamba hii aisee. Mtetea haihusiani na kuku kweli? Dah!
Kawe na siku njema; na karibu sana Nyakabindi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwetu sisi simba jike anaitwa hivyo hivyo Shimba. Hana jina la kilugha..
Hii habari ya Nyakabindi ngoja nimuachie T 1990 ELY ndiye alianzisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Misosi ya Nyakabindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]T 1990 ELY akija hapa sana sana ni kukaribishwa msosi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Leo umeamua kuwa mkorofi eeeh!? Akija hapa na misosi yake mi ntakukana kuwa sikufahamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana wanaweka interval ya muda nadhani ni kila baada ya mwezi, siyo muda wowote tu.Unajua kuna kitu umenifumbua hapa...
Ina maana JF sasa hivi imempa mtumiaji uwezo wa kujibadilishia ID peke yake na siyo kazi ya Mods tena?
Kama ni hivyo mbona kuna watu watabadili ID kila siku[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ma mkubwa na we umeanza kuvuta bangi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaMtetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee kongole zao! Hatimaye!Nahisi ndio shem yetu mpya..
Kadanganya eeeh!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui maana silijui kabila lakeKadanganya eeeh!?
Wewe na mama mkubwa wako ni wale wale tu. Kabila kasema ni Mnyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui maana silijui kabila lake