Next time ukimwambia leo kunyoa, utaona pilika pilika zake ha ha...mimi kama negative experiences siyo mbaya namuachia dogo ajitusue mwenyewe afahamu vizuri dunia inavyoenda
mf. Dogo nilimwambia hamna kuangalia TV weekdays, akirudi anamkazia dada anaangalia dada hasemi, hiyo siku nimerudi home kabla hajarudi shule nikapaki gari mbali kabisa na home asijue nipo home ili akumbane na consequences za tabia zake...karudi anamuendesha kama yeye ndie baba, kawasha tv, dada akimuambia zima tv, anamjibu mbovu afu anamwambia ukimwambia baba nitakunyima hichi, kile...
nikatoka room alikuwa mdogo balaa nikachomoa card ya king'amuzi miezi 3, nikampangia na kazi za kufanya na makofi akala, siku hizi yuko maki i kweli na maelekezo