Mi nasubiri breakfast ya Lizzy misosi yake huwa ni baabkubwa😋😋 yani nikiona tu hapa njaa potelea mbaliAsante.
Wekabasi brekifast mkuu njaa inaniuma kichizi yan na wallet yangu inamatobo kweli😅
Nataka kupiga ndefu kwahiyo weka supu ya kuku wa kienyeji na chapati mbili
Lazima roho iume kiaina mkuu, pole sana[emoji23]
Inauma mkuu ni wife material haswa huyu mwalimu, jamaa kalamba bingo Mimi nilimuona chenga badae nikaja kutana na vimwanamke wanaita pisi Moto niliuona ikawa too lateLazima roho iume kiaina mkuu, pole sana[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuu.Inauma mkuu ni wife material haswa huyu mwalimu, jamaa kalamba bingo Mimi nilimuona chenga badae nikaja kutana na vimwanamke wanaita pisi Moto niliuona ikawa too late
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Huyu Lizzy Huyu hjanitendea haki kabisaVipi Lizzy keshakuleta kiporo cha wali ndondo mkuu😅🤸♂️🤸♂️
Lizy bado yuko bagamoyo mkuu usimdistabu..kiporo cha wali ndondo utakutana nacho jumatatuuuu..
Au uje kwangu Mjep nikupikie..Kwanini upate shida baba!Lizy bado yuko bagamoyo mkuu usimdistabu..kiporo cha wali ndondo utakutana nacho jumatatuuuu..
Bora kwa huyu msukuma wangu T 1990 ELY yye huwa anakulaga fyitu fya kibabe.
Hii fursa siwezi ikosa kabisa lazima niitumie vizuri mkuu wangu nakuja chap.. kabla T 1990 ELY hajatia maguuAu uje kwangu Mjep nikupikie..Kwanini upate shida baba!
MjepHii fursa siwezi ikosa kabisa lazima niitumie vizuri mkuu wangu nakuja chap.. kabla T 1990 ELY hajatia maguu
Mkuu T 1990 ELY nisamehe mkuu kama nimeuwaza mi nachmbeza tuu
Mkuu Mjep hata hujakosea chochote/loloteMkuu T 1990 ELY nisamehe mkuu kama nimeuwaza mi nachmbeza tuu
Fanya chap kwa haraka Mjep nimeashaanza kuandaa mapochopocho.aga vizuri nyumbaniHii fursa siwezi ikosa kabisa lazima niitumie vizuri mkuu wangu nakuja chap.. kabla T 1990 ELY hajatia maguu
Kwahiyo madai yake unaogopa😅😅Mkuu T 1990 ELY nisamehe mkuu kama nimeuwaza mi nachmbeza tuu
Mkuu, Jitahidi usikae jirani na Kamba au peke yako usije ukashambuliwa na Moyo😃😃 (Jokes)
[emoji3][emoji3][emoji3] inauma Ila itabidi nizoee tuMkuu, Jitahidi usikae jirani na Kamba au peke yako usije ukashambuliwa na Moyo[emoji2][emoji2] (Jokes)
Ila mwanangu inaelekea wewe ni mwembamba sana.😁😁