Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Yaani nimemmiss hatari. Kaamua kutukimbia wenzie.
Afadhali bana nikahisi wazanzibari washakuteka huko kwao😅
Atakuwa anapambana na mafurushi ya huko nje teh
Ok sawa tutaona inakuaje kipindi Fulani nilipeleka na hii scania 124 trip moja Sudan ilikua super profit Ila kwa Sasa masuala ya usalama hayako sawa hasa dafur nkaogopa wahuni wasije choma chuma tukaanza na upyaNipo mbioni kufanya hivyo professor
Nasubiri ile ahadi ya janaOk sawa tutaona inakuaje kipindi Fulani nilipeleka na hii scania 124 trip moja Sudan ilikua super profit Ila kwa Sasa masuala ya usalama hayako sawa hasa dafur nkaogopa wahuni wasije choma chuma tukaanza na upya
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hahaha haujasahau? Haya fungua pm chapNasubiri ile ahadi ya jana
Sijasahau
Full picture iko nyuma nyuma hukoFull pic hutaki ??
Weka tu
Hilo Jina
Mimi sikuonaFull picture iko nyuma nyuma hukoIla ahadi nishatimiza au vp?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hahaha picha Sina tupia kwanza wewe full ili kesho nihamasike kupiga picha fullMimi sikuona
Halafu ahadi gani unaichelewesha hivi utadhani nasubiri ufalme wa mbinguni..embu ifidie wa kuweka full pic.
Hee yaani hiyo ninayokuomba ni ya kufidia ahadi .Hahaha picha Sina tupia kwanza wewe full ili kesho nihamasike kupiga picha full
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Si unaweka mara moja tu??Full pic no my friend Nina personal reasons hope you understand nipe tano
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kesho Basi nitaweka saiv kwenye simu Sina pic trust meSi unaweka mara moja tu??
HeeKesho Basi nitaweka saiv kwenye simu Sina pic trust me
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Dodoma ulishamaliza ? Nimekaa Sana pale social science 3 yrsSi unaweka mara moja tu??
Weka picha kwanzaDodoma ulishamaliza ? Nimekaa Sana pale social science 3 yrs
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Heekesho tena??
Weka ile ya jana ukiwa umetoa emoj.
Haya weka Sasa jamani tuonenimekunyooshea mikono una ugonjwa wa kinganganizi Kama mdogo wangu yaan mpaka unatamani umpige makofi
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hahaha humanity??Weka picha kwanza
Kumbe ulikuwa wa Social eeh??
Uliwahi kaa kaa na bondeni?watu wengi wanaosoma CHSS huwa wanapenda kukaa kule bondeni kuliko social sijui kwanini.
Mimi nimekaa Dom hadi nazeekea pale jamanikaribu sana chimwaga December.
Yah