Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Kazi anayoifanya ni wokovu tosha.Na Tena wajina wako ndio Safi kabisa atakua wifi bomba,, Ila hajaokoka [emoji3] Labda mtatusaidia kumueka kundini
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mweusi mkristo asiwe single maza [emoji3] na awe tayari kuja mkoaNa utengano ni udhaifu.nitakupambania.
Nipe sifa za umtakae
Ameen, december tutakuja uyole xmass nitakupa codes uje umuoneKazi anayoifanya ni wokovu tosha.
Mungu kwa neema yake atamuingiza zizini .
Kwahiyo posa napeleka kwa mzee wa kwakoHuyu ni mdogo wangu wa damu mkuu anaenifuatia.. vijana wa jf wanasema wanawake wasomi wakorofi Ila nawatoa hofu dgo ni Safi sana
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu posa kabla ya usaili kweli?Kwahiyo posa napeleka kwa mzee wa kwako
Shida unachelewa kunisaidiaShe is so cute
Naona ana jina kama langu [emoji7]
Ngoja niongee na braza tulete mahari[emoji4]
Mhmhhhhh[emoji28][emoji28]umenitelekeza jirani nikaamua kuondoka tu.
Twamsubiri kwa hamu wajina[emoji7]Ameen, december tutakuja uyole xmass nitakupa codes uje umuone
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Unaumwa jino jiraniMhmhhhhh
[emoji23][emoji23][emoji23]Shida unachelewa kunisaidia
Yess [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] la kuliaUnaumwa jino jirani
😅😅😅jirani nakupiga chiniYess [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] la kulia
Akija asiondoke nyumbaniTwamsubiri kwa hamu wajina[emoji7]
Ila Sasa Kaka ana vigezo ?? Itabidi umwage cv yakeTwamsubiri kwa hamu wajina[emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Unaumwa jino jirani
Usinipige ban aisehhhh nakuhitaji[emoji28][emoji28][emoji28]jirani nakupiga chini
Over qualifiedIla Sasa Kaka ana vigezo ?? Itabidi umwage cv yake
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
HahahaAkija asiondoke nyumbani
Mweusi mkristo asiwe single maza [emoji3] na awe tayari kuja mkoa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Over qualified