Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 17, 2020 #74,561 Zoë said: mwee ujage dar na wewe Click to expand... Unataka nifie kwenye mafuriko wakati Hata kuogelea sijui
Zoë said: mwee ujage dar na wewe Click to expand... Unataka nifie kwenye mafuriko wakati Hata kuogelea sijui
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 17, 2020 #74,562 Heaven Sent said: Khaaa mnyaki nilikumiss jamani mweeh Click to expand... nilikumiss zaidi ya unavyodhani dada
Heaven Sent said: Khaaa mnyaki nilikumiss jamani mweeh Click to expand... nilikumiss zaidi ya unavyodhani dada
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 17, 2020 #74,563 Saint Anne said: Unataka nifie kwenye mafuriko wakati Hata kuogelea sijui Click to expand... mbona sisi wengine hatujafa na hayo mafuriko
Saint Anne said: Unataka nifie kwenye mafuriko wakati Hata kuogelea sijui Click to expand... mbona sisi wengine hatujafa na hayo mafuriko
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Oct 17, 2020 #74,564 Chakorii said: Jitahidi kukimbizana na muda jombaa Click to expand... Nitapambana kabla sijafika 32 na nyie mnisaidie jamani huko mliko kama wapo umoja ni nguvu Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Chakorii said: Jitahidi kukimbizana na muda jombaa Click to expand... Nitapambana kabla sijafika 32 na nyie mnisaidie jamani huko mliko kama wapo umoja ni nguvu Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Oct 17, 2020 #74,565 Saint Anne said: Hajaamua tu kutafuta Click to expand... Kwenye zile semina ukichek check kwa macho yako ya rohoni kweli siwezi ambulia kitu? Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Saint Anne said: Hajaamua tu kutafuta Click to expand... Kwenye zile semina ukichek check kwa macho yako ya rohoni kweli siwezi ambulia kitu? Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Oct 17, 2020 #74,566 moj6 said: Star park moroView attachment 1603411 Click to expand... K vant inapendwa kama juice ya tende, siri ni nini wakuu
moj6 said: Star park moroView attachment 1603411 Click to expand... K vant inapendwa kama juice ya tende, siri ni nini wakuu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 17, 2020 #74,567 Zoë said: mbona sisi wengine hatujafa na hayo mafuriko Click to expand... Itakuwa mnakaa ushuani Naogopa kuja kuogelea huko
Zoë said: mbona sisi wengine hatujafa na hayo mafuriko Click to expand... Itakuwa mnakaa ushuani Naogopa kuja kuogelea huko
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Oct 17, 2020 #74,568 Gallius said: Wedding... View attachment 1603422 Click to expand... Hii harusi wanakamati na wageni waalikwa mlijichanga naona mnagonga vitu vilaaini mpaka mlewe ni asubuhi
Gallius said: Wedding... View attachment 1603422 Click to expand... Hii harusi wanakamati na wageni waalikwa mlijichanga naona mnagonga vitu vilaaini mpaka mlewe ni asubuhi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 17, 2020 #74,569 billdrago said: Kwenye zile semina ukichek check kwa macho yako ya rohoni kweli siwezi ambulia kitu? Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kwenye semina kamtafute Mungu tu! Mengine utazidishiwa.
billdrago said: Kwenye zile semina ukichek check kwa macho yako ya rohoni kweli siwezi ambulia kitu? Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kwenye semina kamtafute Mungu tu! Mengine utazidishiwa.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Oct 17, 2020 #74,570 Chakorii said: Mdogo wangu hebu mtafutie kaka ako billdrago mbaby black huko asiwe anaingia gharama sana Click to expand... Jirani
Chakorii said: Mdogo wangu hebu mtafutie kaka ako billdrago mbaby black huko asiwe anaingia gharama sana Click to expand... Jirani
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 17, 2020 #74,571 Iceberg9 said: K vant inapendwa kama juice ya tende, siri ni nini wakuu Click to expand... Inapunguza kitambi
Iceberg9 said: K vant inapendwa kama juice ya tende, siri ni nini wakuu Click to expand... Inapunguza kitambi
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 17, 2020 #74,572 Saint Anne said: Itakuwa mnakaa ushuani Naogopa kuja kuogelea huko Click to expand... Kwa hii mvua hakuna cha wanaokaa ushuani wala sisi wa madongo kuinama! Karibia kote ngoma droo tu!
Saint Anne said: Itakuwa mnakaa ushuani Naogopa kuja kuogelea huko Click to expand... Kwa hii mvua hakuna cha wanaokaa ushuani wala sisi wa madongo kuinama! Karibia kote ngoma droo tu!
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Oct 17, 2020 #74,573 Zoë said: Inapunguza kitambi Click to expand... Mwanampotevu uzi lilipoa kumbe ulikua likizo
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Oct 17, 2020 #74,574 Zoë said: Inapunguza kitambi Click to expand... Nani kasema kitambi kinapungua kwa k vant
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 17, 2020 #74,575 Zoë said: Kwa hii mvua hakuna cha wanaokaa ushuani wala sisi wa madongo kuinama! Karibia kote ngoma droo tu! Click to expand... Aiseee Ngoja mafuriko yaishe December nitakuja
Zoë said: Kwa hii mvua hakuna cha wanaokaa ushuani wala sisi wa madongo kuinama! Karibia kote ngoma droo tu! Click to expand... Aiseee Ngoja mafuriko yaishe December nitakuja
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Oct 17, 2020 #74,576 Saint Anne said: Aiseee Ngoja mafuriko yaishe December nitakuja Click to expand... Hebu tulia sehemu moja, baada ya uchaguzi kuna mitamaa
Saint Anne said: Aiseee Ngoja mafuriko yaishe December nitakuja Click to expand... Hebu tulia sehemu moja, baada ya uchaguzi kuna mitamaa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 17, 2020 #74,577 Iceberg9 said: Hebu tulia sehemu moja, baada ya uchaguzi kuna mitamaa Click to expand... Naamini Mungu ninayemtumikia atanilinda na hatari zote
Iceberg9 said: Hebu tulia sehemu moja, baada ya uchaguzi kuna mitamaa Click to expand... Naamini Mungu ninayemtumikia atanilinda na hatari zote
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Oct 17, 2020 #74,578 Saint Anne said: Naamini Mungu ninayemtumikia atanilinda na hatari zote Click to expand... Sema mdogo wangu kuna uongo umenipiga live yani kweupe endelea kuwa muongo halafu Mungu wako hapendi uongo
Saint Anne said: Naamini Mungu ninayemtumikia atanilinda na hatari zote Click to expand... Sema mdogo wangu kuna uongo umenipiga live yani kweupe endelea kuwa muongo halafu Mungu wako hapendi uongo
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 17, 2020 #74,579 Iceberg9 said: Mwanampotevu uzi lilipoa kumbe ulikua likizo Click to expand... Nipo ndugu yangu! Sikuwa likizo ila kazi tu ndiyo zimenibana!
Iceberg9 said: Mwanampotevu uzi lilipoa kumbe ulikua likizo Click to expand... Nipo ndugu yangu! Sikuwa likizo ila kazi tu ndiyo zimenibana!
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 17, 2020 #74,580 Iceberg9 said: Nani kasema kitambi kinapungua kwa k vant Click to expand... K Vant na Konyagi zote zinapunguza vitambi sijajua kwa spirit za aina nyingine! Ila hizo nina ushahidi nazo!
Iceberg9 said: Nani kasema kitambi kinapungua kwa k vant Click to expand... K Vant na Konyagi zote zinapunguza vitambi sijajua kwa spirit za aina nyingine! Ila hizo nina ushahidi nazo!