πNo need to worry or wonder neither πYou know what....I don't doubt it maana sisi ndio hao hao. Makes me really curious though π€π€π€
Itapendeza sana hii mkuushukran Director nataka niweke selfie na wajumbe wangu niliofanya nao sherehe baada ya kudai wote walinipa kura wakati nilipata 1 yangu tu
Ooh, it's enough for today S, ila kesho ntakutag nikituma ok!πWikendi njema sana. Nilikuwa nataka kulog out lakini umesema leo ni mwendo wa selfie tu. Basi nakesha hapa leo. Donti leti mi dauni pulizi
Women with these legs enh πHello guys, you're missed from this sidee
Tege halijifichi mama π€π€Yaani, nna tege flani hiviiπ.
Una machoo, i thought hamtogundua etiπ€
Tupia kapicha sasa tukuone jamaniMiss you pia.
Mungu ni Mwema niko poa kabisa.
Nilijua uzi ungekuwa ushaisha nguvu kumbe walaaHebu tupia nikuone basi
Kwakweli tege ni kama kikohozi tu kumbe, huwezi kufichaπTege halijifichi mama π€π€
Leta mrejesho wa semina mkuuTupia kapicha sasa tukuone jamani
Zangu zipo juu huko
Huu Uzi hauishi nguvu Kabisa.
Si hata zangu zipogo humu sijazifutaga hata..Tupia kapicha sasa tukuone jamani
Zangu zipo juu huko
Huu Uzi hauishi nguvu Kabisa.
Hahaa champagne ,haya babe wangu uliyeniachaga
Nilikuombea.
Ndio hizo recent ninazozisemaSi hata zangu zipogo humu sijazifutaga hata..
Mi nataka a recent one nikuonege
Asante mkuu kwa maombi maana Kuna neno Fulani mwakasege alisema vijana tunakazana tu kutafuta fedha tunasahau kuanzisha familia zetu ambazo ni baraka Mara dufuNilikuombea.
Leo mwalimu alisema tuombee kwanza mahitaji ya watu kabla hatujajiombea sisi.
Semina ilikuwa nzuri japo nilifika kwa kuchelewa kidogo nikakuta ameanza
Mvua pia ilitaka kutusumbua ila ilitulia.
Haya usiku mwema. NitafurahiOoh, it's enough for today S, ila kesho ntakutag nikituma ok!
Hahaha!Asante mkuu kwa maombi maana Kuna neno Fulani mwakasege alisema vijana tunakazana tu kutafuta fedha tunasahau kuanzisha familia zetu ambazo ni baraka Mara dufu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Jamani sasa kukaa koromije ndiyo unizimie simu? Why babe why? au ulimpata mkoromije mwenzio huko eeh ukanisahau kabisa?. Amekubwanga ndiyo unarudi, sawa haina shida nakupokea tena darling π€ͺπBaada kuona nakaa koromije simu sipatikani mtandaoni sionekani.
Ukapoteza hope.
Ukasahau maana ya cake uliyoikata.
Where there is cake, there is hope!
OMG πͺπͺ mavumbini tutarudi. M/Mungu atujalie mwisho mwemaπTake your time View attachment 1602617
Sio kweli
Mdogo wangu Mambo ni magumu haya Ila sijui ni kwa wote I personally suala la selection bado Niko slow mnoooHahaha!
Ila kweli...mlio na pesa ni wakati wenu wa kuanzisha familia jamani.