Haka kamtu ni kasumbufu sana. Kakiona mdada anasukwa basi na kenyewe kanalilia kusukwa.
Unakapeleka kwenda kusukwa. Lakini hakakai chini kakatulia.
Kakimaliza kusukwa, kesho yake kanaanza kuzifumua nywele.
Hakajali umelipia kiasi gani ili kasukwe.
Ukijaribu kukaeleza, kanaanza kucheka.
Kashenzi sana haka kamtu
.
View attachment 1596024