Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,390
Si ulisema umetoa sadaka[emoji23][emoji1787][emoji1787]Yani nimeongea kwa uchungu acha tu hawa ndugu hawa, naikumbuka ile figure acha tu, halafu juzi nimesikia amefungua kituo cha biashara kingine bar na club kimya kimya natamani nijue location natokea kama mzimu, maana ukimkumbushia huwa anasema subiri subiri naumie na nina shida nayo japo na mimi niwekeze kama yeye
Weka tuMwaka wa uchaguz huu
Weka hata mkono tuWeee hunitakii mema[emoji28]
😅😅😅weeee usiniambie 🧚♀️🧚♀️Ni yeye.....
Ankali mi mwenyewe sielewi maisha yashanichanganya😅Ankali....nini sasa hii
😆😆😆kwahiyo jirani unaniona mimi mtoto sio!!Hicho kiatu usikuvue weka bill yangu mwambie naja
MamboElly
Poa..habariMambo
Sawa sawaNilikua DSM huo mwaka
Ni sadaka inayoniuma Mungu bado hajaipokeaSi ulisema umetoa sadaka[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sifa ya sadaka lazima ikuume,ikukerekete Yaani utoe ile yenye uzito sana.Ni sadaka inayoniuma Mungu bado hajaipokea
Niko vitu ankali hawawezi😅😅Angalia wasikuibie milundi yako midhuli ankal
Habari njema/salama kabisa mkuuPoa..habari
KonyagiTough week, karibu weekendView attachment 1595073
Kma kawaida mzeeKonyagi
VyemaHabari njema/salama kabisa mkuu
🥂Tough week, karibu weekendView attachment 1595073