Polesick[emoji25]View attachment 1592347
Wewe utakuwa ni yule paleee uliyepeku bila fiatu unamgonga chui
Saa na shirt nimevielewa ππ
Asante mkuu .Saa na shirt nimevielewa ππ
Weee usiniambie πππAsante mkuu .
Unajua sisi ambao hatuna hela njia pekee ya kutufanya tujiskie vizuri ni kuwa smart na kupendeza ππ
Hahahahaha wew ni binti wa shehe yahaya?Wewe utakuwa ni yule paleee uliyepeku bila fiatu unamgonga chui
Muombe Saint Anne akutumie niliweka full leoMjep weka picha ulioitoa tasavali
Mtoto wa nabii π π
Yani picha yako nimuombe nani??asante.πππ₯π₯π₯Muombe Saint Anne akutumie niliweka full leo
Na wewe anza kuwaambia kuwa wakitaka ya kwako wanione mimi apaYani picha yako nimuombe nani??asante.[emoji16][emoji16][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Mdogo wangu Chakorii nitaweka nyingine tena nitakutag usichukie mama eehYani picha yako nimuombe nani??asante.πππ₯π₯π₯
Imeisha hiyoπ π π ...nitawaambia wakuone wewe kwa kweli.Na wewe anza kuwaambia kuwa wakitaka ya kwako wanione mimi apa
Fungua hiyo pm nakuja sasa hiviNishachukia kaka mkubwa...π’π’π’
Ukitaka kuchukia kuishe basi unitumie yangu piemu ππ
Nimeshafungua tayari picha ijilete sasaππFungua hiyo pm nakuja sasa hivi
Kwio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imeisha hiyo[emoji28][emoji28][emoji28]...nitawaambia wakuone wewe kwa kweli.
Usisahau kuweka kwio kule boss wangu
Eheee ..mimi napenda local kwio na ugali wa Dona.Kwio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]