Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Jirani mbona na huko ATM sikujakuona 🥺Utanikuta![]()
Jirani mbona na huko ATM sikujakuona 🥺Utanikuta![]()
Lol☺️Naona unakula unyunyu huko kwa 'watasha'.
Hapo ni Virginia USA karibu na makao makuu ya CIA.Nyani Ngabu /Kiranga hapa wapi mzaz
Yaaass.,Langley of course
That's whats up. Take care out there.Yaaass.,Langley of course
We were on our way to MaryLand
Toa emojKwa wale wanaonifahamu, mpo kimya sana View attachment 1581854
Na we we hujapost mudaToa emoj
Weka yako bila emoji, najiweka hapa live kabisaToa emoj
Ipo juu hapoWeka yako bila emoji, najiweka hapa live kabisa
Jana tu nilipost na sijafutaNa we we hujapost muda
Fanya namna mkuu
Kwanini hujanitag rafiki yanguJana tu nilipost na sijafuta
Hongera muraNitajificha mpaka lini bhanaView attachment 1581882
Jaribu kuzitafutaKwanini hujanitag rafiki yangu
Ngoja nirudi kinyume nyume
Salama Mkuu, umefanya jambo LA maana kujilipua, nitaiga mfano huu hivi karibuniAkhsante mura
Kwema mkuu
Sijaona pichaAkhsante mura
Kwema mkuu