Dah.. Milips kama yote... Achana na shavu dodo... [emoji39][emoji39][emoji39]Shoga angu nimemtoa uko Facebook kaomba nimpost eti nae bobishi la mshana limemkuna..[emoji23]View attachment 1221514
Hakika.[emoji38][emoji38][emoji38]Tangu huu Uzi uanze sijafungua Uzi mwingine wowote! Maana ukizubaa tu utakuta picha zishafutwa[emoji2363]
Yeezy boosts on your feet?!
🔥🔥🔥 NiiiceeeeYep & ain’t fake boosts
Mamodel tumenyanyapaliwa Sana humu.wapenzi wa akina nyie 'ize tumanuva' tupo wajameni msitufanyie hivyo
Uzi unatembea kwa speed ya drimulaina
Alaa kumbe shabiby za siku hizi ziko luxurious hivyo??Shabiby hiyo
😂😂😂😂Hakika.
Wewe kweli hujaenda kokote Zaid ya hapa Maana kila picha umeona
Basi ajali kazini.
Ni habari nyingine.Alaa kumbe shabiby za siku hizi ziko luxurious hivyo??
Sio ME wote tunaopenda matandam mpendwa tupo ambao akina nyie mamodel ndo ugonjwa wetu😋😋Mamodel tumenyanyapaliwa Sana humu.
Tumeamua kutoweka kabisa
Pole sana jamani
[emoji7][emoji7]Dah.. Milips kama yote... Achana na shavu dodo... [emoji39][emoji39][emoji39]
Hembu weka ya kwako tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ndio Uzi Bora kwa sasa JF
Nilifanya kosa la kuzubaa kidogo tu kuja kushtuka nakuta washazifuta!Basi ajali kazini.
Ila tangu mwanzo nakuona humu ,halafu yako sijaiona.
Tumeshashikilia msimamo..hatuwekiSio ME wote tunaopenda matandam mpendwa tupo ambao akina nyie mamodel ndo ugonjwa wetu[emoji39][emoji39]
Asantee..Pole sana jamani