Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wavumilivu mno Ila usijaribu wa Manchester ni Kama wahaya kujigamba

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wale mwanitesa utd wana tabia za kishamba wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwanza wengi wanafata mkumbo wale [emoji1787][emoji23]kwanza ile sio timu kabisa,Bora nishabikie mtibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heh!she's a lady alafu anajua football
Heh! Kumbe huku Lake Zone bado[emoji850]
 
Wale mwanitesa utd wana tabia za kishamba wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwanza wengi wanafata mkumbo wale [emoji1787][emoji23]kwanza ile sio timu kabisa,Bora nishabikie mtibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaitwa nyumbu united kufuata mkumbo siunajua nyumbu walivo anaeza anza kimbia with no reason Bora ushabikie ihefu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaitwa nyumbu united kufuata mkumbo siunajua nyumbu walivo anaeza anza kimbia with no reason Bora ushabikie ihefu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Yaani wana tabia za nyumbu kweli[emoji1787]
Kwanza timu lenyewe linafungwa kila siku siku hizi[emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…