linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Adi unaona wivi[emoji847]Hivi viutamu vya maneno honey boo mhmhh mpo vizuri, mnapendana sana
Adi unaona wivi[emoji847]Hivi viutamu vya maneno honey boo mhmhh mpo vizuri, mnapendana sana
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Njombe kuna baridi ya kufa mtu
Wivu hapana, ningekua nina wivu ningeshatangaza niaAdi unaona wivi[emoji847]
We njoo usalimie huku[emoji23][emoji23]unavyoandika eti nimevurugwa .
Tangaza basiWivu hapana, ningekua nina wivu ningeshatangaza nia
Vibali unavyo vya kata mti panda mti?
Tusha salimiana kitamboooooooo[emoji7][emoji7]We njoo usalimie huku
Unakulia on bed?Bed breakfast ...View attachment 1565961
HahahahaUnakulia on bed?
Mbona mchoyo hivyo slice moja tuBed breakfast ...View attachment 1565961
Sawa kaa mkaoTangaza basi
Inatosha kwa muhusika ,mie mjuba napiga supuMbona mchoyo hivyo slice moja tu
[emoji23]Sawa kaa mkao
Usipime mzee Kama RussiaNjombe kuna baridi ya kufa mtu
Ndio boss ingawa na ujanja ujanja unatakiwa kumaximize profitVibali unavyo vya kata mti panda mti?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]