Sijawahi kuitwa inbox mkuu tena binti kabisa akisema amefika sehemu niliyopo. Na naamini haitakaa itokee. Hii ni kwa watu spesheli tu ama
wenye mshiko kuzidi ule wa Cobalt au sifa zingine ambazo wengine hatuna.
Jael na
Makiseo hebu jitahidini mnikaribishe inbox hata kama ni kwa kuzuga tu ili nibusti konfidensi yangu pulizi