Selfika na JF: Snap it. Show it

Huhuhuh sasa dea huyo mjeda nae aweke pic ake, afu n daddie ndo maan nashindwa kumshawish atanchapa fimbo, wee ukim tune atakuelewa sema muoga mno lol.
Unanitafutia balaa zito sana 🤣🤣🤣..
Kumbe ni daddie.. eheee sasa hapo ndo utumie vidole vizuri kutaipu loh.🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Nawaogopa wajeda aiseh 😅😅wakitibuka wametibuka sitaki kasheshe mimi.

😳😳 🙆‍♀️🙆‍♀️Jehovah kwani mimi ni nani mpka anielewe kirahisi hivyo!!!😅😅unanitafutia balaa cocastic my love
 
Hebu acha uoga wee jomone dea lol, atakuelewa huyo hana noumer ujue et, jiamin mwanamke unaweza, na ni jeshi kubwa uwiiih
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni watu poa mno..lakini ni hatari pia.unazoomiwa tu mie sipo cocastic

Kuwa mpole tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna uzi wa wajeda kule chit chat. Nlimwaga tukio ambalo sitasahau, wee wajeda hapana aseee, heri nkutane na chui huenda atanionea huruma
Usintishe hivoooh sasa,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna uzi wa wajeda kule chit chat. Nlimwaga tukio ambalo sitasahau, wee wajeda hapana aseee, heri nkutane na chui huenda atanionea huruma
Usintishe hivoooh sasa,
🤣🤣🤣🤣nimependa mstari wa mwisho cocastic...

Lakini si wabaya wa kiwango hicho ujue.yani mjeda unamfanisha na bwana chui 😅😅u must be kidding huh..

Nilijualo ni watu wakimya wasio na papara na wanahuruma pia..tatizo huja pale ukimmchokoza aiseh..😅😅😅utaimba mapambio yote ya kusifu na kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…