zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Ahsante natulia sasa make toka nianze July 26 2020 nimefungua threads Kama kichaa!Safi.basi hebu kuwa mpole humu ndani endelea kujifunza kimya kimya.kuna vitu vingi mno namaanisha vingi mnooooo... huvijui.sawa kijana mdogo...tulia
jf ni kama msitu kila kiumbe kipo humo ndani so chukua kiti ukae utulie mdogo wangu.
Karibu sana JF.tunakupenda sana
Wewe nyuzi zako andelea kuzileta tu.ila Habari ya kuweka sauti hiyo piga chini kwanza.Ahsante natulia sasa make toka nianze July 26 2020 nimefungua threads Kama kichaa!
Baada yakuona comments zimeshiba nikajua JF Ina wasomi na watu wakubwa nikajiona mdogo hata sitoshi kwenye kisado
Aya nimesikia dada ChakoriiWewe nyuzi zako andelea kuzileta tu.ila Habari ya kuweka sauti hiyo piga chini kwanza.
Basi relax.
Natania I'm done[emoji28][emoji28][emoji28]hayo mambo siyawezagi kabisa mdogo wangu..
Labda uwatafute wenye mambo hayo..
Aisee humu ndani kumbe tunachat na watoto wetu kabisaHapana siwezi kudanganya nina miaka 19 kweli I was born in 2001
Na pia nikasema I'm school drop out siwezi kuona aibu kusema ukweli
Alafu nyie my sisters na wengine elders eti niwadanganye nitafaidika nini?
Najua I'm still growing up lakini kusema ukweli ni vizuri
Ntaendelea kujifunza mambo mengi from you my elders lakini na mimi maybe mtalearn chochote kutoka kwangu japokuwa I'm young
Dah Saint Anne ameniita mimi mtoto dah!Aisee humu ndani kumbe tunachat na watoto wetu kabisa
Una umri sawa na 2nd born wanguDah Saint Anne ameniita mimi mtoto dah!
I'm the youngest JF user ever #Iam Zagarino nakubali
🙈🙈Got stupid for a min then my phone/started acting out 🥴🥴WTF!!!!!!!!
Umevuta bangi leo? 🤔😉
Yupp!!Hapo wapi Dar au
Ohh my!dah mi nilivyoona nikajua Saint Anne ni ka lady flani hivi kumbe inabidi nikusalimie [emoji17][emoji17][emoji17]Una umri sawa na 2nd born wangu
Karibu Musoma pia nawakilisha the most famous tribe In Tanzania Kurya TribeYupp!!
NdiyoOhh my!dah mi nilivyoona nikajua Saint Anne ni ka lady flani hivi kumbe inabidi nikusalimie [emoji17][emoji17][emoji17]
Kuna haja ya JF kuweka sehemu ya Age na personal info
Ila hata hivyo sio mbaya mimi si unaona kabisa kuna dalili zinaonesha I'm matured licha ya age yanguNdiyo
Inabidi uwe na heshima,Hata pm uwe mstaarabu na si kuvamia tu bila salamu inayoeleweka ukijua wote watoto wenzio[emoji4]
Akili zako zinaendana na umri wakoIla hata hivyo sio mbaya mimi si unaona kabisa kuna dalili zinaonesha I'm matured licha ya age yangu
Mtoto kiumri Ila kiakili I'm somehow matured[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili zako zinaendana na umri wako