Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,528
- 235,271
Anaandika vizuri mnoHahahah huyo left hand anayeandika vzr ni gifted aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeHebu weka picha tuone Kama kweli umekaa kilevi
Halafu ngoja nifwate zile picha za Jana ulizoniahidi kunionyesha[emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Hata ladha ya pombe siijui , labda mbege tuuNdiyo
Sasa ttzo Porini usiku huu Kuna wanyama wakali Sana madam wanguHalafu ngoja nifwate zile picha za Jana ulizoniahidi kunionyesha
Aisee mlikuwa mnapenda shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataman ningekuwa na moyo kama wenu wa kuandika notesAnaandika vizuri mno
Japo alikuwa ananiambia eti hajanifikia,Mimi nilikuwa naona kanipita.
Hadi tukawa sometimes tunabadilishana daftari tunaandikiana.
Basi hongera[emoji4]Hata ladha ya pombe siijui , labda mbege tuu
Mimi mwenyewe mnyama mkali nipo hapo Kati[emoji1787]Sasa ttzo Porini usiku huu Kuna wanyama wakali Sana madam wangu
Kwa fimbo zilizokuwepo ile shule yaani bila kuandika mbona wakati utaumia sana.Aisee mlikuwa mnapenda shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataman ningekuwa na moyo kama wenu wa kuandika notes
[emoji23][emoji23]Haiwezekani mtoto was kiume anaremba namna hiyo kuliko hata sis dada zake[emoji134]
Msimshangae sana mara nyingi miandiko ya namna hiyo inakuwa bado iiko skuli.haijaanza kutumika kuingiza fweza 😅😅Hata mm nmeshangaa sana
Dah[emoji23][emoji23]Msimshangae sana mara nyingi miandiko ya namna hiyo inakuwa bado iiko skuli.haijaanza kutumika kuingiza fweza [emoji28][emoji28]
Hongera zake mwandiko unavutia
Huu mwandiko daahWazungu wanavyo ponda waafrika[emoji23][emoji23]View attachment 1546983