Selfika na JF: Snap it. Show it

Huo ukucha kazi yake nini?
Haha hahaha ........kuna mwana kanifata PM kanmbia hyo picha angepost mwingne ningejua shoga hahaha

Mkuu kazi ni kama zifuatzo kufinya watt watukutu,kukwngua vocha,kujikuna,pia kama inatumuk km zan mtu akijichanganya, urembo pia kama wengne wanavyonyoa denge n kazi nyinginezo ambazo kucha inasaidia chapu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…