Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Aug 16, 2020 #68,661 CONTROLA said: we tulia tu mkuu ipo siku,nasubria waingie 18 zangu hawapo mbali. Click to expand... Pal wanataka kukuibia nauli π
CONTROLA said: we tulia tu mkuu ipo siku,nasubria waingie 18 zangu hawapo mbali. Click to expand... Pal wanataka kukuibia nauli π
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,662 yna2 said: Fanya ivyo baadae visikupiteππ Click to expand... Nipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM asee mida hyo niwahi zangu uwanjani mapemaa front front kbsa
yna2 said: Fanya ivyo baadae visikupiteππ Click to expand... Nipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM asee mida hyo niwahi zangu uwanjani mapemaa front front kbsa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,973 Reaction score 831,534 Aug 16, 2020 Thread starter #68,663 CONTROLA said: Nipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM asee mida hyo niwahi zangu uwanjani mapemaa front front kbsa Click to expand...
CONTROLA said: Nipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM asee mida hyo niwahi zangu uwanjani mapemaa front front kbsa Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Aug 16, 2020 #68,664 Transcend said: Maziwa ya ASAS sio ? Click to expand... Yamefanya nini?
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,665 Depal said: Pal wanataka kukuibia nauli π Click to expand... na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda..
Depal said: Pal wanataka kukuibia nauli π Click to expand... na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda..
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,215 Aug 16, 2020 #68,666 Chill sunday
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Aug 16, 2020 #68,667 CONTROLA said: Nipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM asee mida hyo niwahi zangu uwanjani mapemaa front front kbsa Click to expand... ππππ Saa nne kamili Pm hakuingiliki
CONTROLA said: Nipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM asee mida hyo niwahi zangu uwanjani mapemaa front front kbsa Click to expand... ππππ Saa nne kamili Pm hakuingiliki
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,668 Depal said: Nikukimbie kwa sababu zipi? Huendi shopping leo village unipitie nikautie hasara Pale mjini kati napitaga tu na kidala Click to expand... Nipo ndani bado ndio nataka kutoka..
Depal said: Nikukimbie kwa sababu zipi? Huendi shopping leo village unipitie nikautie hasara Pale mjini kati napitaga tu na kidala Click to expand... Nipo ndani bado ndio nataka kutoka..
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Aug 16, 2020 #68,669 CONTROLA said: na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda.. Click to expand... Toa nauli wewe πππ uber uber za nini aisee...
CONTROLA said: na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda.. Click to expand... Toa nauli wewe πππ uber uber za nini aisee...
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Aug 16, 2020 #68,670 CONTROLA said: na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda.. Click to expand... Hahahaha, eti MTU anaumizwa PM,nimecheka sana ,Hahahaha
CONTROLA said: na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda.. Click to expand... Hahahaha, eti MTU anaumizwa PM,nimecheka sana ,Hahahaha
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Aug 16, 2020 #68,671 Transcend said: Mbona kipare hicho Click to expand... Kipare hakipo hapo wala hakijahusika kabisa na wala sikijuiπ π
Transcend said: Mbona kipare hicho Click to expand... Kipare hakipo hapo wala hakijahusika kabisa na wala sikijuiπ π
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,672 Depal said: Hahaha Ya Mshubate haya yakamkuta Hazard CFC Click to expand... Hazard ni mwanamke?
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,673 yna2 said: ππππ Saa nne kamili Pm hakuingiliki Click to expand... tatu na dk 59 utaona nakutembezea like mithili ya mkwepu jr ... ujue tayari nipo uwanjani viti vile vya mbele mbele kbsa,sasa nchomeshe mahindi...
yna2 said: ππππ Saa nne kamili Pm hakuingiliki Click to expand... tatu na dk 59 utaona nakutembezea like mithili ya mkwepu jr ... ujue tayari nipo uwanjani viti vile vya mbele mbele kbsa,sasa nchomeshe mahindi...
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,674 CONTROLA said: Hamna kitu sipendi kama wanaume kujifanya wadada wanakuja na id mpya na kupost vipicha picha vya kna dada ku act n wao,aseee sema basi tu hainihusu ila arif mjue mnazngua Click to expand... Mzee baba vipi? Ulizama PM nini ukakutana na uncle kama wewe
CONTROLA said: Hamna kitu sipendi kama wanaume kujifanya wadada wanakuja na id mpya na kupost vipicha picha vya kna dada ku act n wao,aseee sema basi tu hainihusu ila arif mjue mnazngua Click to expand... Mzee baba vipi? Ulizama PM nini ukakutana na uncle kama wewe
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,675 CONTROLA said: we tulia tu mkuu ipo siku,nasubria waingie 18 zangu hawapo mbali. Click to expand... Pole sana...
CONTROLA said: we tulia tu mkuu ipo siku,nasubria waingie 18 zangu hawapo mbali. Click to expand... Pole sana...
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Aug 16, 2020 #68,676 Depal said: Toa nauli wewe πππ uber uber za nini aisee... Click to expand... ukaikulie kitimoto uje uniambie mtandao unasumbua,hela haitoki... nani anataka jiweka lockdown ya mawazo,mimi hapana kubali hyo....
Depal said: Toa nauli wewe πππ uber uber za nini aisee... Click to expand... ukaikulie kitimoto uje uniambie mtandao unasumbua,hela haitoki... nani anataka jiweka lockdown ya mawazo,mimi hapana kubali hyo....
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,677 Depal said: Ni lawama tu hizi babaa... Hahah napenda vile wamasai, wameru/ wachaga wakiitamka hiyo "babaa/ babake" Click to expand... Sawaa mamaake... . Naona unavyolowea taratibuu..
Depal said: Ni lawama tu hizi babaa... Hahah napenda vile wamasai, wameru/ wachaga wakiitamka hiyo "babaa/ babake" Click to expand... Sawaa mamaake... . Naona unavyolowea taratibuu..
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Aug 16, 2020 #68,678 Transcend said: Hazard ni mwanamke? Click to expand... Ni ME, kuna ID ya kike ilikujaga hapa na kutupia mapics makali kinoma kumbe ni ME na pics alikuwa anatoa google huko... Sasa Hazard ile kitu ilimkaa sana
Transcend said: Hazard ni mwanamke? Click to expand... Ni ME, kuna ID ya kike ilikujaga hapa na kutupia mapics makali kinoma kumbe ni ME na pics alikuwa anatoa google huko... Sasa Hazard ile kitu ilimkaa sana
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 16, 2020 #68,679 Jael said: Yamefanya nini? Click to expand... Yamepostiwa.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Aug 16, 2020 #68,680 CONTROLA said: ukaikulie kitimoto uje uniambie mtandao unasumbua,hela haitoki... nani anataka jiweka lockdown ya mawazo,mimi hapana kubali hyo.... Click to expand... Hahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii
CONTROLA said: ukaikulie kitimoto uje uniambie mtandao unasumbua,hela haitoki... nani anataka jiweka lockdown ya mawazo,mimi hapana kubali hyo.... Click to expand... Hahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii