Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Safi..Elfu 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inbox me the missing pic..[emoji4]Ni mama J..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi..
🧚♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️😆😆😆😆😆we mtu umeamua kunichekesha sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wengine wanaonekanaga vituko tu haki ya nani! Sasa ukute mtu ana tumbo kama mkoba wa kinyozi ndiyo kabisa anakufanya usitamani kuvaa!
Nitaziona huko huko[emoji23]
Vimini havina shida SanaMe nimeacha sahivi tu, nimebakiwa na hiyo moja... Kuna kipindi weee hadi mazaa alinimind ikabidi nizigawe
Ila vimini nashindwa kuacha Saint Anne nifundishe
Me nimeacha sahivi tu, nimebakiwa na hiyo moja... Kuna kipindi weee hadi mazaa alinimind ikabidi nizigawe
Ila vimini nashindwa kuacha Saint Anne nifundishe
Themi garden kupiga picha sio? Zipost basiAfu juzi nilikuwepo pale. Karibu na ofisi za ATCL .
Au ntaenda kwa mfikemo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shaurilo
Nilisahau aisee,nashtuka zishakwenda na majiMkuu, si ulisave kwani?
[emoji3344][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]we mtu umeamua kunichekesha sio
Hapana, Kwa Abdulmajid Nsekela.Themi garden kupiga picha sio? Zipost basi
Mimi nguo inayovuka magoti siwezi kuivaaKwangu kimini ni lazima Kivuke goti aise
Au ntaenda kwa mfikemo
Kule nitakuta za elfu 5Sasa aliyekudanganya kwa mfikemo kuna suruali za elfu 2 nani? Acha ubahili uvae kitu roho inapenda!
Tuko tofauti aiseh hongera.Mimi nguo inayovuka magoti siwezi kuivaa
Sijui ni nini iko na mimi.Mimi nguo inayovuka magoti siwezi kuivaa
Kwangu kimini ni lazima Kivuke goti aise
Embu ngoja kwanza mtakatifu..Kule nitakuta za elfu 5
Ila tatizo zinakuwaga mbovu zile.
Siwezi nikatoa hela zaidi ya hiyo kununua suruali
Kwangu hiyo ni ya church