Hahhaa kwa nini hutaki nikuite mkuu ?Kwanza kabisa usiniite mkuu..
Nahisi bado unakula sana Nyama na vitu vingi vya sukari,haya niambie umefika kilo ngapi sasa!??
Shida nyingine mazoezi hutaki hata kuyasikia
Sijui hata wanaitajeHahha umenichekesha
kumbe zinaitwa hivyo mimi hizi nazipenda maana unakuwa free ukiivaa .
Kwa sababu mimi sio mkuu...Hahhaa kwa nini hutaki nikuite mkuu ?
Hamna nyama nimepunguza kweli , wali nakula mara mbili per week sukari pia sio sana na sijapima kilo muda kweli .
Elfu 40!?[emoji134]
Hazipo za elfu mbili?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Elfu 2? Labda yale malunyalunya ya kusagula pale kabwe! [emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Tatizo hutaki kututajia jinaKwa sababu mimi sio mkuu...
Pima kwanza kilo halafu uniambie
Sawa nimeelewaKwa sababu mimi sio mkuu...
Pima kwanza kilo halafu uniambie
Ohooo...ni kweli aise..
[emoji28][emoji28][emoji28]nguo yoyote itakayochanwa bila sababu ni big no aiseh.
Ila kuna high waist ni nzuri nazipenda..
[emoji28][emoji28]kuna ile unakuta mdada kupiga high waist mpka kwenye maziwa huko[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]na mjanja juu[emoji134]โ[emoji38][emoji38]hapana aiseh
Na mimi nifundishe kuweka hair bleaching ๐ then this shit goes with mazingiraling.... Hapo ilikuwa Lake Manyara ni ngumu kwenda nimevaa mgauni.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ila daah hebu nifundisheni na mimi kuvaa suruali zilizochanika magotini maana nimeshindwa kabisa
Basi zina majina mengi .Sijui hata wanaitaje
Ila huwa nasikia tu sijui jeje,Mara hizo ulizotaja hapo juu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitaenda sido.
Yaani nikatoe elfu 10 nanunua suruali!?!?![emoji134]
Wewe nilishakwambia uniite Kaka muda tuTatizo hutaki kututajia jina
Mimi sina kabisa bargain Power.Sasa na wewe unaanzaje kununua nguo kwa bei hiyo hiyo uliyotajiwa kwani haujui kubargain?
Mtu akikutajia elfu 10 unahakikisha inashuka hadi elfu 6 tena hapo umemuonea huruma kuna watu wanajua kubargain jamani hadi unamuonea huruma muuza nguo wa watu!
Nikakuambia nini?Wewe nilishakwambia uniite Kaka muda tu
[emoji57][emoji57]Ipo siku tu...
Na mimi nifundishe kuweka hair bleaching [emoji3] then this shit goes with mazingiraling.... Hapo ilikuwa Lake Manyara ni ngumu kwenda nimevaa mgauni.
High waist hadi kwenye maziwa??! Uongo mweupe sana huuOhooo...ni kweli aise..
๐ ๐ ๐ nguo yoyote itakayochanwa bila sababu ni big no aiseh.
Ila kuna high waist ni nzuri nazipenda..
๐ ๐ kuna ile unakuta mdada kupiga high waist mpka kwenye maziwa huko๐ ๐ ๐ ๐ na mjanja juu๐โ๐๐hapana aiseh
Mimi sina kabisa bargain Power.
Nitaenda tu Sido[emoji2092]
Nitakualika ankoMwaliko tafadhali
Yeah .! Ni yeye.View attachment 1538087
[emoji124]