Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Oct 2, 2019 #6,741 Hahaha ndio ndio...ila sijaona yakwako mama la mama hannah montana Hannah said: Bila shaka unaongelea kwa unaowajua. Click to expand...
Hahaha ndio ndio...ila sijaona yakwako mama la mama hannah montana Hannah said: Bila shaka unaongelea kwa unaowajua. Click to expand...
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Oct 2, 2019 #6,742 Breki ya Kenge said: Click to expand... Usicheke
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 2, 2019 #6,743 Ooooh.. sawa Pulisic CFC said: Aliweka mwanzo wa uzi kabisa....hata kama uwajui picha halisia zinajulikana Click to expand...
Ooooh.. sawa Pulisic CFC said: Aliweka mwanzo wa uzi kabisa....hata kama uwajui picha halisia zinajulikana Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #6,744 Hannah said: Watu mkijijua ni ma handsome mnasumbua hata picha hamkati. Click to expand... Ila wengine wanahangaika kuzicrop Na wengine hawajaweka kabisa Hafu ndio wa kwanza kuponda wadada walioweka pic zao humu
Hannah said: Watu mkijijua ni ma handsome mnasumbua hata picha hamkati. Click to expand... Ila wengine wanahangaika kuzicrop Na wengine hawajaweka kabisa Hafu ndio wa kwanza kuponda wadada walioweka pic zao humu
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 2, 2019 #6,745 Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Hannah said: Ulipost nini eti ukafuta? Usingizi uliniponza. Click to expand...
Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Hannah said: Ulipost nini eti ukafuta? Usingizi uliniponza. Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 2, 2019 #6,746 Atoto said: Huu uzi bado upo tu Haya usiku mwema. Click to expand... Wacha wee, ukaamua kunichomesha mahindi mwenyewe.
Atoto said: Huu uzi bado upo tu Haya usiku mwema. Click to expand... Wacha wee, ukaamua kunichomesha mahindi mwenyewe.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 2, 2019 #6,747 Picha ya kawaida tuu.. sema kuna moja ikaingia sikutaka itokee huku.. Hannah said: Picha ipi hiyo hadi mods waliamua kuifanya ya mauzo mamy. Iweke tena. Click to expand...
Picha ya kawaida tuu.. sema kuna moja ikaingia sikutaka itokee huku.. Hannah said: Picha ipi hiyo hadi mods waliamua kuifanya ya mauzo mamy. Iweke tena. Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 2, 2019 #6,748 Itakja Kigoma huko Hannah said: Mkuu huko ni mkoa gani udongo mwekundu hivo. Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #6,749 Hannah said: Msomali wa camera ya Snapchat labda. Click to expand... Na uzuri unachangia
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 Oct 2, 2019 #6,750 Hata kama bwana. Sio wote snapchat zinawatoa wazuri eti Hannah said: Msomali wa camera ya Snapchat labda. Click to expand...
Hata kama bwana. Sio wote snapchat zinawatoa wazuri eti Hannah said: Msomali wa camera ya Snapchat labda. Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #6,751 Mzigua90 said: Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Click to expand... Roho imeniuma Sana Nimekuja kuambulia ya pombe tu
Mzigua90 said: Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Click to expand... Roho imeniuma Sana Nimekuja kuambulia ya pombe tu
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 2, 2019 #6,752 Mzigua90 said: Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Click to expand... Tuma tena wewe jamani
Mzigua90 said: Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Click to expand... Tuma tena wewe jamani
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Oct 2, 2019 #6,753 BENNICK said: unaonekana unapenda vifua mkuu, hivo ni kumshawishi mwenza ajiwekee utaratibu wa chest+biceps/triceps workouts long as sio kimbaumbau. Click to expand... Sawa mkuu
BENNICK said: unaonekana unapenda vifua mkuu, hivo ni kumshawishi mwenza ajiwekee utaratibu wa chest+biceps/triceps workouts long as sio kimbaumbau. Click to expand... Sawa mkuu
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Oct 2, 2019 #6,754 Pulisic CFC said: Hahaha ndio ndio...ila sijaona yakwako mama la mama hannah montana Click to expand... Picha zangu zimejaa huku. Utaamua ipi ndio ya kweli.
Pulisic CFC said: Hahaha ndio ndio...ila sijaona yakwako mama la mama hannah montana Click to expand... Picha zangu zimejaa huku. Utaamua ipi ndio ya kweli.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 2, 2019 #6,755 Saint anne said: Roho imeniuma Sana Nimekuja kuambulia ya pombe tu Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Oct 2, 2019 #6,756 Hannah said: View attachment 1221177 Click to expand...
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Oct 2, 2019 #6,757 Saint anne said: Ila wengine wanahangaika kuzicrop Na wengine hawajaweka kabisa Hafu ndio wa kwanza kuponda wadada walioweka pic zao humu Click to expand... Wakuponda anatakiwa atupie full kama huyo kaka hapo tuone sura inaridhisha. Halafu atakuwa mnyakyusa kweli wanyakyusa tupo juu mawinguni
Saint anne said: Ila wengine wanahangaika kuzicrop Na wengine hawajaweka kabisa Hafu ndio wa kwanza kuponda wadada walioweka pic zao humu Click to expand... Wakuponda anatakiwa atupie full kama huyo kaka hapo tuone sura inaridhisha. Halafu atakuwa mnyakyusa kweli wanyakyusa tupo juu mawinguni
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Oct 2, 2019 #6,758 sawa malaika mweupe Hannah said: Picha zangu zimejaa huku. Utaamua ipi ndio ya kweli. Click to expand...
sawa malaika mweupe Hannah said: Picha zangu zimejaa huku. Utaamua ipi ndio ya kweli. Click to expand...
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Oct 2, 2019 #6,759 Mzigua90 said: Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Click to expand... Imenipita jamani. Ungefuta uache moja
Mzigua90 said: Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache Click to expand... Imenipita jamani. Ungefuta uache moja
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 2, 2019 #6,760 Hannah said: Wakuponda anatakiwa atupie full kama huyo kaka hapo tuone sura inaridhisha. Halafu atakuwa mnyakyusa kweli wanyakyusa tupo juu mawinguni Click to expand... Aloo kumbe na wewe ni mnyakyusa??
Hannah said: Wakuponda anatakiwa atupie full kama huyo kaka hapo tuone sura inaridhisha. Halafu atakuwa mnyakyusa kweli wanyakyusa tupo juu mawinguni Click to expand... Aloo kumbe na wewe ni mnyakyusa??