Akakufanikishe katika yote
Akufanyie wepesi na kukupa kibali Zaidi
Sadaka yako ikazae moja kwa Mia
Sadaka ile ikawe ukumbusho na kibali mbele zake.
Akakumbuke mema yote uliyotenda na Akayafanye ukumbusho mbele zake,
Akubarikie na kukulinda
Aah hivi kumbe sipo kanisani