Hapana baba hiyo ilikuwa zamani tu si unajua tena maisha ya chuo halafu ilikuwa ni peer pressure!
Sijui kama unajua kuwa mama ndiyo chanzo cha mimi kuacha hayo mavitu completely!
Hapana baba hiyo ilikuwa zamani tu si unajua tena maisha ya chuo halafu ilikuwa ni peer pressure!
Sijui kama unajua kuwa mama ndiyo chanzo cha mimi kuacha hayo mavitu completely!
Mie ni mpole kweli baba nashukuru na wewe umeliona hilo! Ni kutokana na aina ya marafiki niliokuwa nao tu ndiyo nilijikuta nimejiingiza huko ila sikupenda wala sikuwahi kufikiria!
Mie naona kila mtu na namna mwili wake unavyoreact tu kutokana na hayo makitu! Kuna wengine inawafanya wanakuwa wema kuna wengine inawafanya wanakuwa vichaa!