Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipeni mzuka basi nitupie picha.
Nipeni mzuka jamani.
Maana nimependeza hatari.
Nimewaka balaaaa.
Ninashangaliwa mpaka aibu.
Sasa nataka na nyinyi mnione
khaaaaaah kumbe na weee umo kweny ku flow vocal mweeeh, hadi mbavu zinauma uwiiiiiih
 
Wekeni picha acheni maneno mengi mengi bla bla .. nawafokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…